Recent content by woiso40

  1. woiso40

    Natafuta shule nzuri Arusha au Moshi

    Hakuna shule za hovyo kama za Mastista tena ukute ni wahindi, Mimi ni Mkatoliki na wajua Ubaguzi wanao sana.
  2. woiso40

    Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Hivi unafikiri mwanamke/wanawake huwa wanajali sana vitu? Je, una Muda wa kuwa naye?Unajali hisia Zake? Ndugu zake? Je, mnasali pamoja?
  3. woiso40

    Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Ndugu naomba kujua nafasi ya Bwana Yesu ktk ndoa yako ni ipi? Kama ww ni Mkristo
  4. woiso40

    MTIKISIKO CCM: Pinda si shwari!

    Ee Mungu uishie milele tusidie sisi Watanzania CCM ife yenye we kimya kimya ili tuanze upya
Back
Top Bottom