Recent content by Wo shi niubi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Hilo Liuaji kama limeua watu kibao ili liwe hapo sio la kuchezea, kukuua ni kugusa tu, sidhani kama ni lijitu la kawaida, uongozi wake unanuka damu tangu liingie , liliingia kwa kuua, pia likaua, na linaendelea kuua, ni kuwa makini nalo.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Lissu ana Kesi ya kujibu kutokana na ushahidi wa Jamhuri uliotolewa (Agosti 21, 2026). Amtaja Rais Samia kuwa shahidi wake

    Kamwe Lissu usikubali chochote, bora kufia gerezani kuliko kukaa meza moja na muuaji, ukombozi hauji hivi hivi kama wapinzani wanao lendemka Tz, haijalishi itachukua muda gani lakini lazima usonge mbele, kufa kila mtu atakufa tu. Nitawaona chadema ni wehu na wendawazimu hata kuongea neno...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hii siyo Siasa tena, huu ni Uhalifu dhidi ya Uhuru wa Mwananchi

    Nilisha waambia kuwa ccm ni KPI ya ujinga na Umasikini Africa, wao busy kuendesha mauji na kuteka raia wake kisa ana mawazo tofauti na wao. Ukitaka kujua ni wajinga Tazana matume anayo unda muuaji mkuu ili kujifariji.
  4. W

    JamiiForums Tanzania It's Over..! Ni aidha DPP aendelee kupoteza muda High Court (ndio lengo) bila kuwa na ushahidi (video ya JamboTV) au abwage manyanga..!

    Mnapo ongelea DPP mna mtaja nani? Mtu au CCM? DPP kama mtu hana shida na Lissu, ila DPP kama ccm /muaji wenu ndio huyo anaetaka kunywa damu, ndo huyo anakata shauri.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

    Nilisha waambia ccm ni wajinga , mkubwa wa mauji alisema wanaharakati na upinzani ni magaidi, polisi wakaanza kushika wapinzani na kuwapa kesi za Ugaidi, hii nchi hakuna watu wajinga kama ccm, uwezo hawana uchu wa madaraka ndo unawafanya wawe hapo.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

    Huyo ni mjinga na vuvuzela, ilitakiwa aumizwe na ccm kuchangisha bil86 kwa ajiri ya kusuuport mauji ya watanzania, bil86 unaweza linganisha na tone tone ya 1k kwa mtanzania anaetaka ukombozi? Hivi criteria kupata msemaji wa serikali uko vipi? Ni kuchagua tu mtu anaongea na mjinga? Yaani...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Tundu lissu tuta muweka shujaa no 2 wa Taifa baada ya Nyerere, huyu ndio mtu tuna muhitaji ambae yuko tayari kutoa uhai wa maisha yake kwa watanzania. CCM wamezoea ni wajinga mno, wamefanya hii nchi kama yao na uongozi wa kuachiana vijiti, yaani mtu hana uwezo wowote anategemea kuua watu na...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

    Pesa ya kawaida, na unaweza ukafanya vitu vya kawaida tu. Nimekuwa napata take home (after tax $6300) for last 5 yrs mutokea Feb 10 2021, lakini wala sioni cha maana nimefanya zaidi ya kuumia na Mortage ya about 500k$ na school fees za watoto. Maisha sioni kama ni mazuri. Only salary is...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Waafrika wana asili ya unafiki ubinafsi, hawana utu yaani ubinadamu, ndio maana licha yakuwa na makanisa na misikiti mingi, bado Mungu amewakataa

    Mimi nilishawaambia CCM ni KPI ya ujinga Africa, hata jana limejidhihirisha kubwa jinga lingine linaambia watu wageni wote walale nyumba za wageni kwa NIDA huku 20% ya watanzania wana NIDA. NIDA haina pesa, not facilitated, hata pesa zikitolewa zina pigwa , over 15 yrs wameshindwa hata kutoa IDs...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani...🙏🏻🙏

    Tutaelewana tu, ujinga wa ccm na IDD Amin Mama wa kuua na kuteka watu utakoma, lengo ni ccm na viongozi wa serikali wapigwe vikwazo na kutaifisha mali zao, pole pole tunaanza kuachana na hili chama la kugaidi. Haya Magaidi, mtumeni kombo na kikwete wakawa kwamue, kwa hii issue hata mtume...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

    CCM ni KPI ya ujinga Africa, basi wanajiona vichwa kupeana madaraka kwa njia haramu. Haya vikwazo vilichelewa sana, kazi kuua watu ndo kazi wanaweza ccm.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Mswada haujawahi badilika toka day 1, mswaada ni ule ule sema kuna team muaji ndo wanajitahidi kupotosha, waacha wajidanganye, hao wameshaliwa already.
  13. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania

    Kombo ni Waziri mzigo, mtapigwa Ban USA na EU, stay tuned. Kuna Kombo na Kabudi ha watu ni bure, nyie hamna ubavu wa kushindana na mataifa hayo, uchumi wenyewe huu ambao hata Jamaa wa Facebook anatupita, achaneni kuua watu na mkaongee na upinzani mjinusuru, hizo tume mnajiundia kujifurahisha...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Orodha kamili ya Majina na Picha za Maelfu waliouawa Oktoba 29 kuwekwa hadharani

    Tuandae orodha yote tutute kwa Marco Rubio, Kikwete na Samia, Abdul ni prime suspects, akifuatiwa na Murilo, IGP,mkuu wa majeshi, ccm wote, mkuu wa TISS, Mwigulu..... haya mauji yote lazima wasulubushwe.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na kilio na kusaga meno Kama Donald Trump atasaini Muswada wa Ted Cruz

    Huu mswaada ni bomba sana, uje hata leo labda viburi vita pungua, tumeongea hadi tumechoka, wanajiundia vitume vya kijinga kupumbaza watu, sijawahi ona watu wajinga na wapumbafu kama ccm duniani.
Back
Top Bottom