Recent content by Wizsoudy

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini boomplay kuna video song nyingine ukisearch hazipo?

    Halaf video ikiwekewa hivi kwann huwez kuplay?👇
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini boomplay kuna video song nyingine ukisearch hazipo?

    N Ni ya kulipia c ndy??
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini boomplay kuna video song nyingine ukisearch hazipo?

    Hivi kwanini kule boomplay kuna video song nyingine ukisearch hazipo??? Nimesearch video song za Ibraah takriban nyingi haikuniletea.
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PC yangu ina matatizo ya kuunguruma sana

    PC yangu mbona kama umeiwasha unatumia halafu ukaicha kwa muda kidogo ikiwa monitor screen ipo "on" baadae inazima ila mashine inavuma sasa ukirudi ukabonyeza keyboard yoyote ili iwake na kudisplay kama ulivyoiacha haiwaki yani mpaka utumie power button tena uizime moja kwa moja halafu ndio...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kati ya Urusi na Marekani nani ana nguvu kubwa kijeshi?

    Some other wanasema urusi yupo juu na ndo mbabe
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kati ya Urusi na Marekani nani ana nguvu kubwa kijeshi?

    Wapwa naomba mnisaidie kushinda mabishano, kati ya Mrusi na Mmarekan nani ana strong army yenye technolojia ya silaha kubwa zaidi, nani ana vifaa hatari vya vita, nani mbabe?
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Technology

    Nataka ninunue HP pc yenye hivo vigezo mnanishaurije wadau ipo updated au ni local?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Educational Course

    Ndo hicho nnachokusudia asa,sasa ndo nataka fani nzuri ya kusomea itayomtoa
  9. W

    JamiiForums Tanzania Educational Course

    Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua ukubwa wa processor yako

    Broo nambie hii ni ngapi generation?
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya AMD 8 na core i5 ipi bora?

    Kati ya computer yenye processor AMD A8 na core i 5 ipi bora?
Back
Top Bottom