Recent content by wiz king treasure

  1. wiz king treasure

    Vyuo vya ualimu Dar es Salaam

    Kwa anayejua vyuo vya serikali vya vinavyopatikana Dar ualimu ordinary diploma tafadhali anitajie kwa majina, ahsante wakuu.
  2. wiz king treasure

    Udom yatema majina 153 leo!

    Vp bro itakuwepo batch nyingine?
  3. wiz king treasure

    Udom yatema majina 153 leo!

    Vp bro itakuwepo batch nyingine?
  4. wiz king treasure

    Msaada wanaJF

    Je? Kunauwezekano wa kufuatitia katika uongozi wa chuo ukiwa tayari chuoni
  5. wiz king treasure

    Wale wa UDOM

    Nili apply na nimechaguliwa ordinary diploma in secondary education pia nili confirm katika profile yangu ya nacte
  6. wiz king treasure

    Admission letter special diploma udom kupitia nacte

    Brother mimi niliomba kupitia nacte na selection zao walitoa 23 October but kila nikijaribu kuingiza form four index number na surname wanasema ziko wrong Kwani naweza kwenda kufuatilia chuoni mkuu?
  7. wiz king treasure

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Kama Kuna aliye chaguliwa special diploma kupitia nacte tafadhari nijurishe nina mengi ya ku share
  8. wiz king treasure

    Wale wa UDOM

    Naweza kufuatitia admission letter yangu katika uongozi wa chuo maana katika Web haipo hali ya kuwa nimechaguliwa Ahsanteni.
  9. wiz king treasure

    Admission letter special diploma udom kupitia nacte

    Zilizo kwenye web ni kwa wale walochagulia direct kutoka tamisemi mkuu
  10. wiz king treasure

    Admission letter special diploma udom kupitia nacte

    Wakuu umebaki siku moja kuripoti chuo lkn admission letter sijapata na nikiingia kwenye tovuti ya chuo zinapatikana za wale walochaguliwa direct toka tamisemi msaada wandugu ntaipataje?
  11. wiz king treasure

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Yaani letter zinazopatikana hapo ni kwa wale walochagulia direct kutoka tamisemi but maelekezo yoote nimefuata na hazisomi pia zile namba always hazipatikani.
  12. wiz king treasure

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Nimechaguliwa ordinary diploma kupitia nacte but admission letter sijapata, ntaipataje mkuu maana tarehe ya kuripoti chuo ndo hiyo isha fika.
Back
Top Bottom