Yaan akili ya uvc
Yaani akili za uvccm siko zote huwa zinaweza kinyumenyume. Kwanini husemi tuzitumie sisi wenyewe kwa kuzibadilisha kuwa bidhaa . Kwan alichokisema Trump ni cha uongo. Kwan wewe ni mlipa kodi wa USA. Wewe ni raia wa USA?
Hivi tuna raisi kweli nchi hii? Nchi ina msiba wewe raisi unaondoka nchini kwenda kutalii huko huku unaacha msiba nyumbani. Utakuwa baba wa ajabu sana unaacha msiba nyumbani kwako unaenda sherehe kwa jirani.
Viongozi wetu wa kiafrika huwa wanaona wananchi wake kama nyani vile.hawajali kabisa...
Huu upuuzi ndo nilishakataa. Eti nigombane na mke halafu atishie kwenda kwao. Ataondoka mda huo huo. Mke wa mdogo wangu alikuwa na hii tabia ya kumtishia Sana mdogo wangu wakigombana anatishia kuondoka kwenda kwao.
Sasa siku Moja nikaendapo nikawakuta mama mkwe, mashangazi na dada zake...
Sikuwahi kuulipa. Ila Hadi 2016. Mshahara ulikuwa unaingia halimashauri wakawa wanaula . Magu ndo amekuja kuondoa Kwa operation hewa ya wafanyakazi kazi. Make nilikuwa napokea sms ya makato ya mkopo wa Bank
Huu ndo ukweli. Na siku hizi tunakutana kwenye matukio tu. Kwa upande wa wazazi nilishawawekea bageti Yao Kila mwezi huwa nawatumia Hela ya matumizi. Ila Kwa upande wa ndugu wengine nilisha jizima data.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.