Recent content by witnessj

  1. witnessj

    JamiiForums Tanzania Saikolojia inasema uwe tayari kuishi peke yako. Watu hubadilika ghafla; leo una umuhimu kwao, kesho unaweza kuwa si kitu kwao

    Wabongo na msosi lazima waje asee...niliona kijijini kwetu jamaa anakaa town, sasa alifiwa na mke wake akamsafirisha kijijini kumzika, mavillage champion kama kawa, yakamsusia msiba, eti jamaa huwa anaringa, na wakifiwa haendagi, fastaa akaita vijana wa kukodi, akaangusha mapilau, kuku roast...
  2. witnessj

    JamiiForums Tanzania Saikolojia inasema uwe tayari kuishi peke yako. Watu hubadilika ghafla; leo una umuhimu kwao, kesho unaweza kuwa si kitu kwao

    Sasa hao vijana watakupeti peti wakati unajigaragaza hapo?...watu muhimu sana japo ni machawi eeeuh! sijui tukimbilie wapi Mi nachoka na hii dunia
  3. witnessj

    JamiiForums Tanzania Saikolojia inasema uwe tayari kuishi peke yako. Watu hubadilika ghafla; leo una umuhimu kwao, kesho unaweza kuwa si kitu kwao

    Sio tu kuzikwa,mfano umefiwa mtoto, mke , mume...utasusiwa maiti, hataree sana🤔
  4. witnessj

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

    Mavidole yana sugu hataree
  5. witnessj

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

    Labda waganda wako soft...wakenya wana mbarara
  6. witnessj

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

    Kuglow jomoni sio kugrow😁😁
  7. witnessj

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

    Asee Congo ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza au A+...nilienda Kinshasa kikazi for 3 weeks, si me or ke wote ni mwendo wa vipako🤣🤣...halafu most of them hawajabarikiwa ule uzuri kama wadada wa kibongo, wamekomaa sura, vidole , so mkorogo unadunda wana sugu hao sio poa!
  8. witnessj

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Chuck Norris afariki dunia akiwa na miaka 86

    Aah ok ok...yes Kuna 1-3
  9. witnessj

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Chuck Norris afariki dunia akiwa na miaka 86

    Delta force
  10. witnessj

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Chuck Norris afariki dunia akiwa na miaka 86

    Weka na missing in action😢... Chuck umejua kuniliza leo
  11. witnessj

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Chuck Norris afariki dunia akiwa na miaka 86

    Mamaangu alikuwa anampenda sana, akanifanya nimfuatilie....Rest in Peace my Crush
  12. witnessj

    JamiiForums Tanzania Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    🤣🤣🤣 Hahaha
  13. witnessj

    JamiiForums Tanzania Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Kutokumuamini Binadamu yeyote hapa chini ya jua kuanzia mama, baba, mtoto,mme/ mke, kaka, dada, na wengine wanaofuata ( miyeyusho kichizi) ...I trust myself
  14. witnessj

    JamiiForums Tanzania Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

    Ili mbooo isimame unahitaji hela kiasi gani? 🤔
Back
Top Bottom