ukisoma reply yangu ya kwanza utaona nina nia ya kukusaidia na nimekupa maelekezo kuna vitu naweza kukuuliza ni private so siwez kukuuliza hapa but kama unajisikia una aman unaweza ukarejea ile reply halaf tukaenda level.
Sasa hiyo kitu imejengeka kwenye moyo na ufahamau kwamba kwasabb umewakosa wale ulotaman sana kuongea nao na kushare nao your thoughts(wazazi) kwa hiyo ikawa 'like i don't want to talk to anyone anymore let me live alone and it's okay' ndo kwa neno moja nikasema depression. Unahitaji msaada...
Pole sana, tatizo kubwa hapo ni DEPRESSION ukizngatia ulipoteza mama ukiwa mdg halafu baba nae humfahamu so wkt unaendelea kukua ukawa unaona na kuelewa jinsi watoto wengine wanavyoenjoy na wazazi wao ikajenga Depression ambayo imepelekea isolation na huwa inatokea usijali. Ukiona km bado...
Dhambi kubwa ulioifanya ni kukata tamaa, kuna mtu ana pesa lkn anaishi kwa madawa kitendo tu wew kuamka na afya njema kilitosha kumshukuru Mungu. mtu alietengeneza balbu alijaribu zaid ya mara mia kabla haijafanikiwa kuwaka, fanya hivi mwambie Mungu nisamehe kumbe hata kwa haya ilinipasa...
Pole ila we ni mtoto wa kiume hamuwezi mkadiscuss nae dogo yote mkamaliza mtafute mtu mzima unaemwamini labda shangazi au hata yeyote unaehisi ni mtu mzima na mwenye hekima amwelezee akishindwa kujua na kutatua tatizo hatakosa la kushauri .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.