wasanii wengi wanaimba ilimradi vina tu, hilo la elimu pia sina shaka nalo pia kwani asilimia kubwa ya wanabongo fleva hawana shule, std.7, form 2, 3 amejitahidi form 4! wako wachache wanaoimba na heshima yao iko kama mwana fa, prof. j, ay, joh makini na wachache wengine, hao ukisikiliza nyimbo...