Recent content by Wiseman 2025

  1. Wiseman 2025

    Hivi kuna Koo au familia ambazo kama Mungu kazipa upendeleo na nyingine kuzinyima

    unashinda kwa mwamposa yy anapata hela muumini anaumia kwa umaskini wa kutupwa sasa utajiri utakujaje
  2. Wiseman 2025

    Orodhesha degree useless tz mdogo wako asizisome mwaka 2025/26

    1. Bachelor of Arts in History 2. BA in Philosophy 3. BA in Archaeology 4. BA in Literature 5. BA in African Studies 6. BA in Theology 7. BA in Ethics 8. BA in Gender Studies 9. BA in Cultural Studies 10. BA in Anthropology...
  3. Wiseman 2025

    Katika uzi huu nitajibu maswali ya msingi kuhusu mambo mbalimbali kama Mungu, imani, sayansi, n.k. kutoka kwa watu wanaomaanisha, karibu

    unamwambia nini mtu ambaye anaamini na kuabudu mizimu ya kwao na anapata mafanikio tofauti na hawa wanaosali kwa mwamposa
  4. Wiseman 2025

    Mwenye ujuzi juu ya hii course anifahamishe:Bachelor degree in shipping economics and logistics

    kozi yoyote ambayo hata ukiingia google haipo ikimbie sababu imeanzishwa kiujanja ujanja usije ukasota mtaani kama unataka economic kasome economics yenyewe kabisa
  5. Wiseman 2025

    Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    pitia habari nyingi then fanya maamuzi kama inafaa kuendelea au kuacha
  6. Wiseman 2025

    Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    kwamba ulingane na mtu kasoma masomo 37 wakati ww uliyosoma ni kama 20 ti mba
  7. Wiseman 2025

    DOKEZO Baadhi ya wahadhiri UDOM wanaweka mazingira ya rushwa ili kuwaongezea maksi wanafunzi

    sasa kama una ushahidi kwa nini usipeleke malalamiko sehemu husika au chuo hawana viongozi wote ni wanafunzi
  8. Wiseman 2025

    "Wanafunzi wa chuo mko wapi? Chatgpt ni kama calculator ya ubongo wako

    kama unataka kuwa salama acha kutumia GPT ni africa tu ndio hawaangalii assignment ila ulaya kazi zote za mwanafunzi zinaangaliwa kama umetumia AI kupitia Turnitin. Turnitin is a popular plagiarism detection and academic integrity tool used by educational institutions to check the originality of...
  9. Wiseman 2025

    Naomba jina zuri la mtoto wa kiume na wakike lisiwe la kibantu siamini sana katika asili na pia lisiwe la KIDINI sana just moderate na linalovutia

    tujikumbushe mambo haya kabla ya kutafuta jina kwanza , ni kweli kwamba uzuri wa jina unaweza kuleta baraka maishani, hasa katika jamii nyingi ambapo majina hubeba maana kubwa na ishara za matumaini, baraka, au sifa njema. Hapa kuna sababu kadhaa kwanini jina zuri linaweza kuleta baraka: 1...
  10. Wiseman 2025

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    ya mwaka gani 2023 au 2025
  11. Wiseman 2025

    Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?

    nchi ya afrika ikiwa tu face to face wanamaliza miaka 7 ikiwa online hamna kumaliza
Back
Top Bottom