Recent content by WiseLady

  1. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisaikolojia kuhusu COVID-19

    Hii kitu ni muhimu sana nilifanya hivyo toka last year, taarifa nyingi zinaongeza hofu.
  2. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Wazee wastaafu wanakusanywa kuhakikiwa kipindi hiki cha hatari

    Hii ni mpaka Arusha inafanyika tena bora huko kilimanjaro ni 50-100, huku ni mamia ya wastaafu wanakusanyika! Mama yangu amesota siku tatu mfululizo kila akienda wanahudumiwa watu 300 wengine wanapewa namba kwa ajili ya kesho yake! Inakera na kuhuzunisha mno, ndiyo nchi yetu hii. Ajabu kila...
  3. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

    Huyu mama uso wake tu unaonyesha kuwa hayuko sawa.
  4. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Siha: Taarifa ya kuhuzunisha, Mke na Mume wafariki katika mazingira tofauti

    Namuonea huruma huyo mtoto mdogo jamani😭
  5. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza!

    Hili ndilo la msingi, kusali siyo lazima tukutane kanisani kila mtu asali nyumbani kwake na familia
  6. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Leo nimeikumbuka ID iliyovaa nafsi ya kumi katika mawazo yangu

    Hongera sana kwa hizo Id's, ni mafanikio makubwa.
  7. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja akutwa amefariki ndani ya basi

    Uko sahihi kabisa ila kwa system yetu sidhani kama kuna wa kufanya hivyo, pia kuna wale wasio na tiketi wanapandia njiani na kushuka njiani.
  8. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja akutwa amefariki ndani ya basi

    Ngumu sana hiyo
  9. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Hili jambo la kukejeli waomba ushauri/ msaada liangaliwe upya

    Ubarikiwe sana kwa hili.
  10. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Aliyenizidi umri anapokataa salamu ya shikamoo nimpe salamu gani?

    Huwa sisalimii mtu shkamoo, na ninachojua watu wengi hawapendi kusalimiwa hivyo.
  11. WiseLady

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Arusha Mjini ni Monaban, Gambo ama Kalisti

    Uliposema tumkatae Lema kwa kuwa siyo muarusha ulimaanisha nini mkuu Barbarosa??
  12. WiseLady

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Arusha Mjini ni Monaban, Gambo ama Kalisti

    Waarusha hatutaki ukabila, Lema ni mTanzania ana haki ya kugombea popote. Mbona hujamsema Mrisho Gambo?
  13. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Tanzania yameinufaisha Msumbiji

    Hii habari imenisikitisha sana, siamini kama viongozi wetu hawakujua yote haya! Wanatumika kwa maslahi ya nani?!!
  14. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Hata magaidi wanafahamika dunia nzima.
  15. WiseLady

    JamiiForums Tanzania Je DAB ameamua kukubali yaishe? Hii Tweet inaeleza mengi

    Soon tutamuona tena kanisani akilia.
Back
Top Bottom