Recent content by WISE_2008

  1. W

    JamiiForums Tanzania Bashe: Tumeanza Utafiti wa Mbegu za GMO

    Mbegu za GMO ni kweli kila utafiti khs madhara na faida zake ya hizi mbegu duniani....Faida zake ni ndogo sn na madhara yake ni makubwa. Tubaki na mbegu zetu za asili. Mh Bashe kwa hili tafakari sana. Maamuzi yetu ya sasa yanaweza kutuletea madhara ya vizazi vijavyo..
  2. W

    JamiiForums Tanzania CCM inamdhalilisha Rais Samia

    HAPA HAKUNA KATIBA.....Rudi kasome tena?? MUHULA WA MGOMBEA URAIS NI WA KIPINDI CHA MIAKA MITANO TU!!!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Ngoja tuone safari bado inaendelea kabla ya 2025
  4. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangala: Ningekuwa kwenye Research au Chuo Kikuu ningeshakuwa Professor sasa lakini hapa nilipo natukanwa tu na Vijana

    Duhhh!! Kwahiyo huyu ni wala wale akina Basite???
  5. W

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya na kifo cha imani ya msalaba

    Masood amepenyeza UKWELI WA UNAFIKI wa viongozi wa KKKT katika kanisa badala ya kutetea haki ya waumini wao mbele ya viongozi wa kisiasa katika jamii inayowaumiza WAUMINI kiuchumi (hasa mfumuko wa bei) na mengine mengi .
  6. W

    JamiiForums Tanzania Sasa kwenda Bukoba ni TZS 100K kutoka TZS 65K, LATRA mnafahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania wenzenu?

    SIYO HAKI KABISA ... LATRA KUNA MAMBO WANATAKIWA KUYAZINGATIA KABLA YA KUKURUPUKA NA KUWASIKILIZA WAMILIKI WA MABASI. HII NAULI WALIYOITANGAZA IFLATION YAKE NI KUBWA MNO. Cyo kweli wamiliki pmja na mafuta kupanda eti ni makampuni 3...SUPER FEO , HAPPY NATION na ABC ndio WAFANYE NAULI ZIPANDE KWA...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Mazingira fulani ya ka ukweli!
Back
Top Bottom