Habari zenu viongozi, nina shida moja kwa wale ambao wanajua vizuri kuhusu swala la upigaji picha na vit vingine kam hivyo, naomben mnisaidie hata wa ushauri tu.
Nilikiwa nina wazo la kuinvest katika upigaji picha chuoni, naomba mnisaidie vifaa vya msingi kuwa navyo ni vipi na bei zake...
Mimi ni mwanfunzi nimehitimu kidato cha nne last year, binafsi napenda mambo ya Afya na Engineer
Mimi nimebalance comb ya PCB NA PCM ila kuna baadhi ya watu wamenishauri niende Chuo wengine A level.
Swali: Kama nikienda Chuo kuna tofaut na wa A level na pia nikichukua course ya afya eg co Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.