Pole mpenzi, mim pia nateswa na ki2 kama hicho huu ni mwez wa3 sasa ila najitahidi na nahisi am about to move on, jitahid kuwa busy na mambo yako,jichanganye na friends ambao hawamjui wala hawajui story yako na yeye I mean ambao hawataweza kumuulizia,unapohisi upweke usiwaze sana kuwa angekuwepo...