Recent content by Wints

  1. W

    JamiiForums Tanzania Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

    Lil wayne lollipop,a milli,john, six foot 7 foot, love me,mirror, got money [emoji383],she will [emoji3][emoji3][emoji3]
  2. W

    JamiiForums Tanzania Daladala zirudi njia ya Kimara - Kariakoo

    Mwendokasi wanazingua sana aisee kwa upande wa muda. Magari ni machache mno na ni ya kusubiria sana hii inachelewesha sana aisee kama wameshindwa waruhusu daladala zianze route ya kimara kupunguza foleni. Lengo la mwendokasi lilikuwa ni kuokoa mda na kupunguza foleni na kero ya usafiri lakini...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Chumba cha Umbea: Wasanii na Mihadarati

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Propaganda tumekugundua
  5. W

    JamiiForums Tanzania Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

    Nasikia hata Protestants walitengenezwa na ottoman empire kama njia ya kuteteresha ukatoliki
  6. W

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz hiki nini tena?

    Sio muha ni mluguru
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diamond Platnumz️ anatengwa na wadau kwenye ulimwengu wa muziki?

    Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa Diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa Wasafi la sivyo huwezi sikia Diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni Diamond...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze matajiri wetu sisi wenyewe kwa makusudi kabisa

    Umeongea aisee hawa wahindi na waarabu wanawanyanyasa sana watu weusi kwenye enterprises zao. Cha ajabu serikali inawapa support kubwa sana na wala hawalipi kodi eti ni ajabu.
  9. W

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

    Umekosa hoja casino na upinde wa mvua vina uhusiano gani? [emoji23]
  10. W

    JamiiForums Tanzania Atheists (mnaopinga uwepo wa Mungu) fanyeni kama mnapita hapa hivi

    Tumeona video zao na picha zao
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali yetu isitumie mbinu hii ili kufikisha maji sehemu ambazo zinahitaji wa maji kwa uharaka ilo kukabiliana na tatizo la maji

    Bomba linapita chini for security reasons. Ni rahisi vifaa vya mabomba kuibiwa kama mabomba yatapita juu hivyo ni more safe yakipita chini
  12. W

    JamiiForums Tanzania Hatimae Serikali imekubali kwamba hakuna kitu kinaitwa kipaji maalumu

    Sasa tofauti kati ya hiyo kitopeni na feza kaileta nani? Kwanini serikali isikubali makosa yake yenyewe na kurekebisha miundombinu yake iwe bora kwa wanafunzi kusomea. Hiyo hoja imekaa dhahiri kwamba serikali haiko tayari kukubali makosa yake yenyewe na kutaka kujificha kwenye msingi wa kuficha...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

    Anazoeshwa kuyafuga yawe yanatema pesaa
  14. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Umeweza vipi kudumu kwenye mahusiano na mwanamke anayeandika utoporo kwenye sms?

    Learn to tolerate people’s weakness
Back
Top Bottom