Recent content by WinterSummer

  1. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kutongoza mwanamke kwa macho

    Macho hayadanganyi!! Over! Intelejensia.
  2. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiomba hela, nikimpa ananiomba radhi

    Huyo ana hofu ya Mungu! Kam shida zake ni za msingi na wazazi wake hawawezi kuzitatua endelea kumpa mida! Anaweza kuwa na na Nia Nzuri na wewe.
  3. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kuoa sasa basi

    Mimi ni Male.nielewe Hivyo kwa Maelezo yangu! Itapendeza.
  4. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kuoa sasa basi

    Haujaelewa nini!?
  5. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kuoa sasa basi

    Rejea mada tajwa Hapo juu. Samahani kwa wale nitakaowakwaza kwa maamuzi Haya.nimechukua maamuzi Haya bila kushawishiwa na mtu yeyote.
  6. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Magumashi ya Billionaire Maprosoo wa nyumba za Lugumi sasa wadada mna haki ya kuwathaminisha wanaowatongoza

    Ha ha haaaaaaa haaaaaaa haaaaaaa! Hiyo sentensi ndo inanivunja mbavu! 900 itapendeza zaidi.
  7. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

    kwa Nini mkuu!?
  8. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    Pia wenye smatphones hawafai kuolewa! Oa at your own risk...
  9. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    Ukiona binti anapenda sana kuangalia movies/series USIOE.
  10. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

    Ha h haaaaaaa haaaaa! Keep fighting with your weather.!
  11. WinterSummer

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

    Ha ha haaaaaa haaaaaa! Nilinuna kwa muda lkn haya maneno yamenifanya nicheke kwa sauti! Akili,Akili_Akili.kabla ya sura akili kwanza/attitude.
Back
Top Bottom