tatizo ulilinalo nami limenikuta, nakunywa maji ya matembele, maziwa, folic acid, dawa nyekundu za damu, matunda lakini damu imetoka 12.9 mpk 9.8. Nataka kesho niende hospital ya serikali nikahakikishe zaid, maana sijaamini kabisaa sasa nimepewa dawa inaitwa hemovit wameniambia inaongeza damu...