Recent content by winnie priyanca

  1. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Agiza bidhaa (made in china)

    Habari za jioni ... Naomba kujua aliyewahi kuagiza bidhaa kutoka application ya made in China na akaupata na quality ikoje
  2. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mfanyabiashara anayeanza kakutana na maneno haya?

    Kweli kbsaaaa hicho cha muhimu usichukulie mzahaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mfanyabiashara anayeanza kakutana na maneno haya?

    Mimi huwa nauza kwa jumla dozen kuanzia 16000/= mpk -38 kulingaNa na design y chup ila sijaifanya seriouc business , bdo sijapata wateja Sent using Jamii Forums mobile app
  4. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mfanyabiashara anayeanza kakutana na maneno haya?

    Weka brazia, weka boxer za kike,za watoto wa kium na kike, wek tight, wek yale matako ya bandia , mambo n msupa ....ni biashara nayopenda sana maan haina changamoto sana .... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mfanyabiashara anayeanza kakutana na maneno haya?

    Weka muuzaji wa kike , wadada wengi huogopa kununua chupi kwa mkaka , ningekushaur uuze na jumla pia hata kama utaanza na dozen 20 zitakusogeza na huku ulishafika Ug basi mambo yatasonga tuu haijalishi umefungua wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

    Kuna nyuzi kama 4 hivi za mwaka jana mpya kabisa kuhusiana na biashara Uganda, hebu tafuta utazipata ...watu huona uvivu kuja kila siku kuelezea point zile zile ...tafuta Uzi upo
  7. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Nimekuelewa san ntalifanyia kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Someni comment za hiv karibuni mtapata point au tafuteni post za karibuni nadhn ziko 3 hivi kuhus Ug Sent using Jamii Forums mobile app
  9. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa fursa zilizoko nchini Seychelles

    Creole,french,english
  10. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa fursa zilizoko nchini Seychelles

    Mazao maan kikubwa wao wanategemea uvuvi tuu so kulim hakuna, n nchi nzur sanaaa hawan ubaguz coz wao wenyew wanaasili y africa
  11. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

    Soma uzi woteeee utapata majibu
  12. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Arusha

    Maji ya chai kubwa sehemu gani alafu 15 bei iko juu sana kw ukubwa huo
  13. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wateja 440 - 1,300 kila siku kwa biashara yoyote ile Tanzania

    Hii kitu ndo imefanya biashra yangu ...kama hujafanya nakushaur ufanye
  14. winnie priyanca

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Dodoma maeneo gani kma n sehemu imechangamka weka chips na mazagazaga yote .... Matunda in biashara Nzuri sanaaa na kila siku unaingiza hela Apples n biashara nzyr pia
Back
Top Bottom