Recent content by winner009

  1. W

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    watu wengine wanachekesha kweli PAYE really???hivi watu wangapi wameajiriwa mpaka PAYE iwe big deal kwa takwimu tu za kawaida most people in tanzania are either at xul or jobless and some are not into working a.k.a jobless bt no regrets....and very very very few employed and self employed so...
  2. W

    Tendwa: Kwa hili la Red Brigade, Nitaifuta CHADEMA!

    yani unapokua mzee afu hauna hata punje ya busara nimajanga،،،،eti hakuna sheria yakuwaruhusu cdm kuwa na red brigade!!!!ila ipo yakuwapa kiburi ccm chakuwa na GREEN GUARD??hivi hii katiba ya tendwa namabosi wake ccm au????mwanasheria gani anaropoka ropoka kama...
  3. W

    Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    soma chote alichoandika ndo utajua uhusiano unafupisha hadi kuelewa statement،،،،kikweta amebarikiwa sura na uzazi mkubwaaa nchi imemshinda hii,,,,,shame on air hostes na co president!
  4. W

    January Makamba awataka wananchi wawalaumu wabunge wao kuhusu kodi ya 1,000 kwa kila laini

    tatizo lako unajiangalia wewe na wanaokuzunguka wenye hela hiyo!!!ila kwa taarifa yako 2 kuna w2 wengi wanasimu ili waweze kupatikanika nasio 7bu wanaimudu mjombaa!afu swala hapa sio tu kodi mkuu ila je hii kodi wakikusanya wanafanyia nn???serikali yetu inakusanya kodi nyingi kuliko...
  5. W

    Unafiki wa Wabunge wa Tanzania: Kwanini hawalipi kodi?

    kaka,,,elf 12,000/=،،،،،،wala juzi tu imeletwa kodi ya majengo home n TSH 44,442/=......so wamepandisha mkuu na hyo point ya waangalie nahyo nyumba je yabiashara au makazi inamashko sana kuna w2 mjini wana apartments kwa mwezi milioni 2 per head na wana...
  6. W

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    kuna wagogo mjomba niwavivu nao sijawahi ona mtu anaona bora alale au aombe kuliko kufanya kazi ww fikiria hii...barabara nyng zinazojengwa dodoma vibarua wanatoka mwanza,shinyanga na dar ila co dodoma kisa m2 anaona elf 5 kwacku ndogo bora aombe buku.
Back
Top Bottom