Recent content by WiNice

  1. WiNice

    JamiiForums Tanzania Kuoga ni dk15-20, Nyie mnaotumia dk1,2,3 kuoga, unaoga! Sasa unaoga nini?

    Kaogeni mtoni acheni mambo ya calculations za hovyo
  2. WiNice

    JamiiForums Tanzania Kuoga ni dk15-20, Nyie mnaotumia dk1,2,3 kuoga, unaoga! Sasa unaoga nini?

    Sio kila kiungo ni cha kugusa unapooga Hususani kwa sisi wanaume.. Dakika za kuoga nyingi sana ni 7 kwangu
  3. WiNice

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

    Kwa hiyo ITV leo wamegoma kuonyesha??
  4. WiNice

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu BAKWATA: Tuepuke mahubiri ya siasa kwenye nyumba za ibada

    Kwani amesemaje
  5. WiNice

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    We mwehu tu Unaijua katiba ya Tanzania au unabwabwaja tu
  6. WiNice

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

    Unakulaje mtoto wa watu na kwao haupajui?
  7. WiNice

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

    KESI IKO LIVE ITV JAMANI WASIO NA BANDO
  8. WiNice

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Vitu vingine sio vya kulazimisha wangebaki tu waangalie kesi ITV Mambo mengine ni ya kuepuka kabisa
  9. WiNice

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi wanawake nao huwa wanasahau vitu vidogo vidogo kama sisi wanaume?

    Like that, Unakuta umeamka na mambo mengi kwa kichwa
  10. WiNice

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi wanawake nao huwa wanasahau vitu vidogo vidogo kama sisi wanaume?

    JAMANI HIVI WANAWAKE NAO HUWA WANASAHAU VITU VIDOGO VIDOGO KAMA SISI WANAUME? Mimi kuna muda nasahau kupiga maswaki,nasahau kufunga zipu ya suruali au kifungo cha shati,nasahau kabisa kuchana nywele wakati wa mtoko.... Wewe huwa unajisahau wapi mdau? Au ulishawahi kuona mtu kajisahau kitu gani...
  11. WiNice

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ole Sendeka: Natamani Tundu Lissu atoke gerezani aje ashindane na Rais Samia

    Itakuwa kitovu chake kinawasha
  12. WiNice

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ole Sendeka: Natamani Tundu Lissu atoke gerezani aje ashindane na Rais Samia

    Watu wengine sio wa kujibizana nao
Back
Top Bottom