Recent content by Wingu

  1. Wingu

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana na haina mwisho.Chadema walianza kuwabagua waislamu wakamaliza sasa wameanza kuwabagua wakatoliki(Dr Slaa na wenzake) wanajazana walutheri tu(Mbowe,Sumaye,Lowassa).
  2. Wingu

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Kweli nimeamini Slaa anamsimamo na anasimamia kile anachokiamini.Siyo kama manyumbu fulani yanayocheza ngoma ya Dj bila kujielewa.Hongera Slaa napenda wanasiasa wa siasa kama zako popote ulipo wafuasi wako tutakufuata.
  3. Wingu

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Haya sasa kiko wapi?Mbona Dr Slaa jana hatujamuona siasa za unafiki na kipumbavu kweli mnaziweza
  4. Wingu

    JamiiForums Tanzania UKAWA umejaa mfumo dume, wanawake msiwape kura

    Chadema wadini sana 99% ya wagombea ni wakristo.Laana ya Watanzania zitawangukia
  5. Wingu

    JamiiForums Tanzania Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

    Sasa wewe Chadema una washauri Ccm.Acheni kuhangaika na mambo yasiyowahusu.Mawazo yako kamshauri Fisadi Lowasa Na Movement ya kidini(kilutheri)
  6. Wingu

    JamiiForums Tanzania Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa UKAWA

    Wagombea wa Chadema 99% ni Wakristo.Kweli hii ni Christian Democratic Movement
  7. Wingu

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Chadema ni Chama cha Wakristo(Walutheri).Angalia wagombea wake mtakubali.
  8. Wingu

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    Hawawezi kumuondoa labda atangaze yeye mwenyewe kujiondoa.Siunajua Chadema ina damu yake tehe tehe.
  9. Wingu

    JamiiForums Tanzania Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

    Yaani hata wewe unamtukana Dr Slaa hivi!Hivi kati ya Slaa na Mbowe ni nani wa kulaumiwa?
  10. Wingu

    JamiiForums Tanzania OMBI; Onyesha uzalendo baki chadema, baki UKAWA.

    Hivi wewe unajidai unajidai unajua ukombozi kuliko Slaa?Wakati ubabe ulipotumika kumpitisha Lowassa endeleeni nao.Sio mnakuja kulialia hapa Slaa sio mjinga anajua ukweli wote
  11. Wingu

    JamiiForums Tanzania Lowassa Alichukua Wiki 2 Kutafakari Kilichotokea; Tuheshimu Uamuzi wa Dr. Slaa Kufanya Hivyo Hivyo

    Hivi kwa mtu mwenye msimamo kwa misingi aliyojiwekea kuna muda hata wa kutafakari.Msimamia ukweli siku zote haitaji muda kutafakari hata mkiremba maneno Watanzania wa leo watawahukumu kwa matendo yenu.
  12. Wingu

    JamiiForums Tanzania Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    Pro Mbowe kwa matusi wanayomshushia Dr slaa na Mke wake Utafikiri amewaibia ofisi yao.Yeye kaamua alivyoamua heshimuni maamuzi yake
  13. Wingu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CCM Tengua Magufuli weka Dr.Slaa

    Ngoma bado mbichi ndo kwanza imeanza
  14. Wingu

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Misifa yake ya kutukana watu ndo inayomtesa sasa hivi.Sijui ataficha wapi liuso lake.
  15. Wingu

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Slaa na domo lake la kumwita Lowasa Fisadi sijui ataishi maisha gani ndani ya chedema.Siasa za masifa lazima zimtese mbavu kabisa.Mbowe huyo na Lowasa ndo watakao mpa maelezo sasa.
Back
Top Bottom