Recent content by Wings

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wasio la loan udom.

    kwa udom downloaded water=maji ya kuchemsha
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    ile ni university hakuna utakachohitaji usikipate, wewe angalia zaidi nini kilichokupeleka hapo ili ufanikishe lengo lako
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    km 7 toka mjini ndio unaingia lango la Udom hakuna uzio
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    hali ya hewa sio mbaya japo kuna upepo sana, mbu wanakuwepo sana wakati ule wa semister ya pili mwanzoni
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    kila college huwa ina ratiba yake na kwa wale wa EPL zipo sehemu za kuangalizia mechi
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    suala la movement katika hostel between sex ni jambo la kawaida
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    lecture zinaanza saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku kila lecture ni masaa 2. Kwa mtu mmoja mmoja inategemea kwa siku anaweza kuwa na lecture 1, 2,3 au hata asiwe nayo kabisa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    zinatofautishwa kwa majengo
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    daladala zao ni hizo za education(Coed) mavazi kwao sijui walikua na utaratibu gani
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    wote wanakaa hapo Coed hawaendi CoES maana ujenzi ulikua unaendele so lecture zao zote walikuwa wanapigia hapo Coed
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    accomodation facilities hazikutosheleza
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Makole kuna wale ambao bila kubeba mabegi makubwa tena zaidi ya moja hajaona kama ameenda chuo vile
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    kuingia au kutoka hukatwazi wewe ni mtu mzima unajitambua ila itakapozidi saa 5 usiku itakubidi upite kwa kuwaonesha SUMA JKT kitambulisho ndipo uruhusiwe kuingia chuoni
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    CoES walikuwa wakiishi Coed maana CoES ujenzi haujakamilika
  15. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Mkuu hapana, mimi sina mkataba tena na Udom. Kwa MD siwajui maana wako busy kupindukia wadau wa Coed wanaweza kuwafahamu vizuri laada wanaweza kukusaidia zaidi
Back
Top Bottom