Recent content by Wingrace

  1. Wingrace

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Kumpa mtu visa ni kitu cha kuwa makini na kuzingatia, sio cha kufanya kirahisi (kulingana na nchi imetaka watu wa nje wangapi kwa mwaka nchini mwao na watakaofanya nini) so assessment ni muhimu. Pia Wanaotoa visa ni tofauti na institution inayotoa scholarships. Kwaiyo they probably won’t bend...
  2. Wingrace

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Kwa nijuavyo, visa za Poland zinachelewa kutoka sana especially this period (kwasababu miezi kama mitatu nyuma kulikuwa na Visa scandal, wakawa kama wamestopisha flani kuprocess Visa ili kupisha uchunguzi.) so I am just thinking they probably have workload kubwa ya watu hence delay. It may take...
  3. Wingrace

    Nahitaji kupata Control Number ya kulipia TRA

    Habari, kama system ya efiling ingekuwa inafanya kazi vizuri kama awali, ningekushauri ufanye Payment Registration ambapo ungeweza kutoa control number kwa kutumia Debit Number. Ila Penalty ipo pale pale, maana system ingepick kuwa tarehe uliotakiwa kulipa na tarehe unayolipa ni tofauti.
  4. Wingrace

    Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Pia nmesahau, angalia pia TRA website, wanakuaga na hizo Customs na export levies na taxes. Bahati mbaya sijui ni section gani haswa. Lakini wanakuaga nazo(kodi kwa Afrika mashariki na nchi zingine).
  5. Wingrace

    Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Pia nimeona mtu (Username: mkataumem)ameongelea list za nini unahitaji kuexport. Ameelezea vizuri. Jaribu kufatilia vitu vyote hivo vingine. (Export Permit, Phytosanitary) na kupunguza usumbufu, watu wa Clearing and Forwading ndio mambo yao hayo. Watakusaidia. Ila hizo procedures zote pia...
  6. Wingrace

    Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Habari, hii sasa kama unapenda kusoma soma 😂 nenda kwenye EAC Customs draft. (Hii inaonyesha kodi watakazotoza). Ila generally, kwa Raw Materials Agricultural Produce (Mazao ambayo hayajawa processed) hamna kodi ya customs kama zinaenda nchi yoyote ya Afrika Mashariki (confirm tu kwenye iyo act...
  7. Wingrace

    Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Kupata export permit (Kibali cha kupeleka nje ya nchi) kwa cereals and legumes kama Maharage, Mchele, Mahindi etc. Unaapply kupitia mfumo wa atmis.kilimo.go.tz pia ni bure. Hamna gharama kwa most of them kwa jamii ya Nafaka(Cereals and Legumes). Kwa maelezo zaidi angalia Tanzania Trade Portal...
Back
Top Bottom