Recent content by wilson nisha

  1. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Kama hujui kuhusu Cryptocurrence hii haikuhusu pia. Ila wenye idea na hii ki2 2mieni Hilo wazo.
  2. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Hahaahaaaa! Hapo wanaweza kunielewa wanaojua Cryptocurrence issues. Ila Kama ukiwa unajua 2 ku2mia smart kwa kuperuzi udaku na michezo ndo baaaaasi. Kama hunielewi nenda YouTube andika DEAL NO1. Japo naamini lazima uende darasani kuijua hii.
  3. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Napenda kushiriki nanyi kuhusu deal no1. Ni online part time job ambayo inalipa Sana lkn issue hii ni mpya haikuwepo. Unakuwa wakala wa ku2ma orders online na kulipwa commission hapohapo ipo since 2017 japo kibongo imekuja sio mda. Capital ni kuanzia Dolla 10. Kiasi Cha kawaida sana...
  4. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Fedha za alama za mitaa zinatoka mfuko upi?

    Mi swali naulza fedha za hizi alama wanatoa wananchi au Kuna mfuko ktk halmashauri? Maana nimeona kata flani wananchi wanalalamika wanaambiwa kibao kimoja ni zaidi ya elfu 80, je kata zilizoweka alitoa Nani? Wanaojua utaratibu watoe majibu
  5. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Fedha za alama za mitaa zinatoka mfuko upi?

    Nauliza je, ni wananchi wanaweka alama za mitaa kwa fedha zao au mfuko wa halmashauri? Maana nimeona sehemu raia wanalalama. Huko kwenu jamani nani anaweka hizi alama?
  6. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Bilashaka, kura tutapiga mkuu. Andiko linatufunza Sana, mfano Mimi ni mwalimu lakini Nina kikundi Cha vibarua mashambani Kama mradi wangu, Mara ya Kwanza wakati natangaza hili wazo hapahapa JF, baadhi walinivunja moyo lkn ni idea ambayo napata kipato kuliko vile watu wanafikilia, ingawa hata...
  7. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Asante sana kwa elimu hii na ushauri pia. Pamoja na hayo maoni yangu ni kwamba kwa msomi kuchagua kazi sababu sio eti ni dharau hapana hii inatokana na madhara ya kisaikolojia, ili mtu mwenye degree auze karanga inahitaji apate ushauri wa kisaikolojia. Nakumbuka professor Nyoni wa UDOM, alisema...
  8. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Ok sawa, nadhani Kila kitu kina changamoto, nahii pia ni miongoni. Ukweli Kuna kazi nashindwa kufanya ingawa zilizo nyingi znafanyika. Yote ni kutokana na 7bu mbalimbali.
  9. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Nafanya kazi na watu wengi pia, huwa sikatai kazi, niliweka wazi nafanya kazi kwa makubaliano yenye tija, kwa mfano Kuna mtu mwingine alitaka niende pwani na vijana wakati kazi ni ya laki nne tu na nitumie cost zangu, kumbuka nataka kazi lkn sio ya hasara, kama upo mbali na nilipo na una eneo...
  10. wilson nisha

  11. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Boss usitumie hasira, Kuna mda natingwa. Nakumbuka ulisema una heka moja. Kiukweli siwezi kusafiri kwaajili ya heka moja iliyo umbali. Nafanya kazi na vijana ambao wanategemea faida, usilazimishe nifanye kazi yako Kama inanifanya nitumie gharama kubwa
  12. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufungua tuition na nursery School

    Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa kunisupport, NAHITAJI support, Contact, Email. wilsonmwamakalapya@gmail.com Whatsup: +25576736103
  13. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Aisee bangi huwa sifanyi naiheshimu
  14. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Niliwahi kupost kuhusu kuwa na kikundi Cha VIBARUA MASHAMBANI, Sasa nafanya na usimamizi pia kwa mikoa ya Lindi, Njombe, mbeya, iringa,Ruvuma na Songwe tu, - mazao ya parachichi, ufuta, mpunga, mahindi, tangawizi, viazi mviringo na korosho -huduma ya VIBARUA mashambani pia ipo tunafanya kazi...
  15. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Kwasasa NJOMBE Kazi inaende liwengi na lupembe, walio karbu na hayo maeneo tuwasiliane
Back
Top Bottom