Recent content by wilmina

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani vilitumika kuwapa wanyama majina? Kwanini waitwe simba, mbwa, mbuzi n.k.?

    Kila kitu chanzo chake ni Mungu. Biblia katika kitabu cha mwanzo sura ya kwanza na ya pili, inaeleza kwamba, baada ya Mungu kuumba wanyama aliwapitisha kwa Adam (mwanadamu wa kwanza) ndipo akawaita majina kama alivyoona yeye Adam. Nadhani nimeeleweka mkuu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kanunue hisa kwenye soko la hisa au UTT huku ukiendelea na kazi yako. Baada ya muda itazaa na kukupa faida bila jasho
  3. W

    JamiiForums Tanzania Asali na karanga

    Unapatikana wapi mkuu nahitaji sana hiyo asali
  4. W

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Kwani hiyo sarafu ina nini ndani nami nikutafutie mtaji
Back
Top Bottom