Recent content by WILLYKI

  1. W

    Ushauri kwa Manispaa ya Kinondoni

    Naomba kwanza niwapongeze viongozi wote wa Manispaa kwa kufanikisha ujenzi wa jengo jipya la ofisi pale Magomeni. Lakini sijaelewa wametumia vigezo gani kufunga jenereta kandokando ya barabara kuu ya Morogoro, takribani mita 5-10 hivi. Hii si salama sana kwani ajali za barabarani kwenye...
  2. W

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Asante kwa hii taarifa. Nlikuwa nakosa ushawishi wa kutosha. Natafuta mteja wa Xtrail Rider DTX nihamie Outlander ya 2012 kwenda juu cc2000
  3. W

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Jamani!!!! Tatizo ni nchi kuingia kwenye gharama, ila chadema hawajapoteza kiti chao.
Back
Top Bottom