Recent content by WILLY PETER

  1. W

    Ahsante Mungu, ushindi wa Lema umezima mikakati yote CCM kuibomoa CHADEMA

    Mungu mkubwa,ccm wajue watanzania sio wa miaka ya 80,propaganda za kipuuzi kama za nape haziwezi kuidhofisha chadema,majaji wameamka wameachwa kutumikishwa na magamba,ipo siku na polisi wataamka,vijana tuipuze ccm tuungane tujenga CHADEMA
  2. W

    Fastjet waleta ndege mpya

    Hivi hao fast jet wanajipangeje na safari za pembe zone kama kigoma?maana huku shida tupo, treni shida ,mabasi shida ,fast jet tuokoeni watu wa kg
  3. W

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Nilikuwa nawapenda sana na nilipenda sana kusikiliza vipindi kumbe wanatumiwa na mafisadi,nilijua ni radio ya watu kumbe sio hivyo,sasa wameumbuka,sijui kama ni wanahabari waliosemea uanahabari, big up Lema ,big up CDM
Back
Top Bottom