Recent content by Willson sons

  1. Willson sons

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

    hii ndiyo tz yenye laana kwa kweli leo hii ni kupingwa kama mbwa na serikali ipo kimya
  2. Willson sons

    JamiiForums Tanzania Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

    Ni vema tena busara za maana na siku zote vya kale ni dhahabu na usishangae dangote kutumia simu ya batani kumbuka simu ipo kwa ajili ya mawasiliono
  3. Willson sons

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU TECNO W4 .

    SIMU YANGU TECNO W4 INA MWEZI MMOJA MPAKA SASA LAKINI NIMEPATWA NA SHIDA YA KIPESA NIMEONA NIUZE NILICHONACHO MAANA NDO MSAADA WANGU WA KUJIKWAMUA KATIKA TATIZO LANGU SIMU YENYEWE INA LAKI MOJA NA SABINI TSHS=170,000 HAIPUNGUI HATA KIDOGO KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NAMI KUPITIA NAMBARI YA...
  4. Willson sons

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mbunge Lema anyimwa dhamana, arudishwa Magereza na kesi kusikilizwa tena 16 Dec

    Nini kinajiri mahakamani kwa siku ya leo kwa ndugu yetu LEMA anayesota bila kupatikana mwafaka wa kesi yake??? kwa walioko ARUSHA matokeo please!!!!
  5. Willson sons

    JamiiForums Tanzania Je, Kikwete ndiye Rais mbovu katika historia ya Tanzania?

    Wewe Acha kisema Jk alikuwa Rais Mbovu mimi naona alikuwa Rais bora kwa kuwa aliheshimu mawazo ya mtu na kuheshimu katiba ya nchi na hakuwahi kuivunja kama alivyoiharibu John Pombe Mpaka sasa kakataza mikutano za hadhara wakati kwenye katiba Mikutano imezungumzwa na imepewa kipa umbele pia sasa...
  6. Willson sons

    JamiiForums Tanzania Fahamu upande wa pili wa Dangote

    duuuhhh hii kali kwa hiyo muwekezaji haingizi kipato kwa serikali ss nini maana ya kuwa na wawekezaji?
Back
Top Bottom