Recent content by willpower

  1. willpower

    Is it fair kumhukumu mdada kwa kutaka kuwa na bwana mwenye pesa zaidi?

    Hakuna tatizo kwa mwanamke kutaka kuingia kwenye mahuasiano na aina fulani ya mwanaume. Kuingia kwenye mahusiano hakuondoa haki ya kuchagua kwa mwanamke. Kama kigezo ni kuwa na mwanaume mwenye pesa hakuna tatizo kabisa. Tatizo linaweza kuwa pale anapoanza kudharau wanaume ambao anaona kuwa...
  2. willpower

    Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Na wewe hamia mkoa alioolewa mchepuko, katiba yetu inatupa nafasi ya kwenda popote ili mradi huvunji sheria.
  3. willpower

    Mameneja wa bar, wamiliki wa majiko DSM muna shida gani?

    Hilo ni tatizo la wafanyabiashara wengi. Kufanya biashara kwa mazoea.
  4. willpower

    Case File 1: Mwanaume aliyekodi watu ili kumuua mkewe wakiwa Honeymoon (True Story) Part 1

    Ameshaweka Part 2......ngoja tuone kama atafika mwisho
  5. willpower

    Case File 1: Mwanaume aliyekodi watu ili kumuua mkewe wakiwa Honeymoon (True Story) Part 1

    Good one, Shren miaka 2 baadaye aliachiwa huru.....Waiting for Part 2
  6. willpower

    To be honest, nikilala na mwanaume asiye na hela sitosheki

    Marytina, bila kuzingatia mambo mengine kwenye bandiko lako nikusifu kwa kuwa mwanamke ambaye walau katika hili umekuwa mkweli. Wanawake wengi hasa hawa wa 20 - 40 years ni waongo na wanafiki sana. Hongera walau kwa ukweli huu mmoja.
  7. willpower

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    ''...Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu...'' Kama wewe ni mtu wa ku-entertain mawazo ya namna hii, nakusahuri achana na mapenzi.
  8. willpower

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Vipi wewe umeweza nini ili kuinua uchumi wako 😅 Huwezi kuandika kwa ufasaha lakini unawaponda single mothers.
  9. willpower

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Maisha yamekupiga unaleta hasira kwenye post ya mtandaoni.
  10. willpower

    Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Namtakia afya njema na apone maradhi yanayomsumbua. Upande wa pili; maisha aliyokuwa akiishi yanaweza kunyooshewa kidole wakati huu anapoumwa. Ana video na picha kadhaa akinywa na akisifia unywaji wa pombe tena zile kali. Lifestyle yake inawezekana sio sababu ya maradhi haya lakini kama...
  11. willpower

    DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Haya mambo ya miaka ya 2000 huko mzee. Wakati huo ndio internet cafe zinaanza. Miaka hiyo email ni Yahoo na Hotmail. Wazee wa zamani na maafisa wengi wa serikali wamelizwa sana kwa hii mbinu
  12. willpower

    Kampuni ya JEFAG Logistics: Kero ya foleni na ajali Kurasini

    Kampuni ya JEFAG Logistics iliyopo Kurasini Dar es Salaam imekuwa ikisababisha kero ya foleni kwa watumiaji wa barabara inayoelekea daraja la Mwalimu Nyerere (Daraja la Kigamboni) kutokana na mipangilio mibovu ya magari ya mizigo. Muda wa asubuhi malori ya mizigo hujipanga barabarani karibu na...
  13. willpower

    Capacity Nursery and Primary School: Ni shule nzuri lakini baadhi ya Walimu ni wanatesa watoto.

    Shule nzuri ila baadhi Walimu wanachanganya hasira za maisha na masuala ya shule. Sio sawa kupiga watoto kwa hasira na kutumia viungo vya mwili wako. Unampigaje mtoto makofi, ngumi na mateke? Sio sawa,pazeni sauti kwa nguvu watawaumizia watoto hao na kuwatia ulemavu.
Back
Top Bottom