Recent content by willium

  1. W

    JamiiForums Tanzania Clouds FM mnatupeleka wapi Watanzania kuhoji mashoga?

    Maajabu. Sijasikiliza njia panda siku nyingi. Kama imefikia mpaka kuwapa muda wa kujinadi, hii inatisha sana. Wanataka kuharakisha hii sheria ipitishwe kama Uganda.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nimegundua CHADEMA bado hawana sifa na hadhi ya kushika madaraka nchi hii

    Nasikia Chadema kuna Udini Ukabila Ukanda. Je,kuna mtu anaweza kunisaidia kunipa takwimu sahihi ili nami niweze kujua uhalisia wahaya maneno!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Papa ateua maaskofu wasaidizi wawili Dar

    Nikweli kabisa. Ukisikia padre amepandishwa daraja nakuwa askofu, nikichwa kweli kweli kwani hawabahatishi
  4. W

    JamiiForums Tanzania Serikali Tatu: Kamati Kuu Ya CCM Yamsulubu Dk Salim

    Inasikitisha kwani maoni ya wananchi walio wengi ndiyo yamechukuliwa na tume, unaposema msimamo wa chama chetu, hapo ndipo ninapoona pana utata.
Back
Top Bottom