Recent content by WilliK10

  1. WilliK10

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hahahahahahahahahaha
  2. WilliK10

    Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Kakwambia mtu unakufa mara moja tu. Hayo ya kuiogopa serikali ni ya kwako. Hakuna kiumbe atakayebaki hai duniani. Hata hao usalama wa taifa watakufa kama binadamu mwingine.
  3. WilliK10

    GE2020 Kama CCM imeshinda viti 42 kati ya 43 Udiwani, Uchaguzi mwaka 2020 kwa Uraisi itakuwaje?

    Siku mkiacha kutumia mabavu ya vyombo vya ulinzi, wote mtaangukia pua..
  4. WilliK10

    GE2020 Kama CCM imeshinda viti 42 kati ya 43 Udiwani, Uchaguzi mwaka 2020 kwa Uraisi itakuwaje?

    Tatizo lako ni tafsiri ya neno ushindi. Tume yenu, polisi wenu, uchaguzi wenu, mshindi unategemea atoke wapi?
  5. WilliK10

    Watumishi wa Serikali na siasa za mishahara

    So wasiokuwa na kazi ndo wanataka mishahara ya hovyo? Au unadhani matumizi/mahitaji yao ni tofauti ya walioajiriwa sasa? Wakati nyie na serikali yenu mkiendelea kubana mishahara na kutumia ubabe wa kusema asiyetaka kazi aache, sekta binafsi inazidi kushika kasi tena ktk mazingira haya haya...
  6. WilliK10

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Bahati mbaya, wao hawafikirii kama nyie na bado wamewapiga gap kwa kila kitu
  7. WilliK10

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Usikurupuke. Umeambiwa mifugo yenu kibao ipo kule pia. Na kitu gani mifugo inakula kipindi hiki ambacho kimekuwa tofauti mpaka mkosane na watu? Sasa uchumi wa viwanda mpaka mifugo [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. WilliK10

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Mna nini nyie cha kujivunia? Haya sasa mmeshapewa vidonge vyenu. Ndo mmeshajaribiwa sasa. Fanyeni mnavyoweza.
  9. WilliK10

    ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    Waambie walikemee au walifungie kama Mwanahalisi na Raia Mwema. Nafurahi kuona sehemu kubwa ya dunia bado iko huru kuandika wanachotaka. Mwenye hoja ya kupinga walichoandika, aweke makala ya kupinga hayo yote.
  10. WilliK10

    Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

    Wewe tulia huko huko? Umetumwa? Au umeambiwa uchangie matibabu? Pilipili usoila yakuwashia nn? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. WilliK10

    Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

    Kanjanja yule. Mchumia tumbo.
Back
Top Bottom