Recent content by William-123

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

    Wakuu hii bei ni Kwa meter 1. Na kisima ili upate Maji unatakiwa Meter ngapi..? Nimesikia kuanzia 60 kwenda mbele..! Hii ina maana kuwa 70,000 mara 60 = 4,200,000/= upate kisima..!! Naona bei kubwa sanaa!! Kuna mdau anajua mtu mwingine wa bei poa..?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

    Wadau inasikitisha sana ku pretend tukafanya demokrasia wakati Chama tawala na serikali yake vikiwa vinang'ang'ania madaraka na kushindwa dhamini kura za wananchi. Huku ni kuwafanya wananchi wapumbafu na kuwafanyia maigizo ya demokrasia. Jamani kama zanzibar Cuf wameshinda wageni nchi. Hii ndio...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuhusu Uchaguzi wa Zanjadala - Humphrey Polepole na Ismail Jussa

    Kibaraka polepole anapigania ubunge kwa kuikana haki. Inasikitisha sana. Watu kama hawa wangekuwa nchi za watu nadhani wangeshapotezwa. Sema tanzania ni kisiwa cha uvumilivu.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Athari za kufuta uchaguzi Zanzibar na kuendelea na uchaguzi bara

    Dungu wadau nina maswali kadhaa kuhusiana na hii ya mtu mmoja ndani ya ZEC kufuta uchaguzi wa Zanzibar ambao mpaka umefanyika umegharimu pesa nyingi kwa pande zote kila chama na Serikali kwa ujumla. Maswali: (1) Je ni sababu zipi ambazo zimemfanya mtu mmoja ndani ya ZEC kufuta matokeo. Maana...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    Anachoongea mbatia kina logic kubwa. Kuendelea na uchaguzi wa rais wa jamuhuri wa muungano muungano. Inadhihirisha fika kwamba bara tunawatawala wanzanzibar Na kura zao hazina effect yoyote .. Ni sisi tunawachagulia rais na hawana haki. Hili ni kosa kubwa ambalo litaleta madhara baadae kwa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Waangalizi wa kimataifa wasema uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na haki

    Hawa wasimamizi wanakaa Hyatt hotel dar wanaangalia matokeo ya lubuva kwenye screen. Na wanaona watu tupokimyaaA ndio maana wana assume huru kumbeee
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Ccm wameshindwa au
  8. W

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Ndugu By kepler telescope:Kama unayajua unayoongea fafanua ueleze unavyoelewa alafu watu wakusaidie kukuelimisha. Don't call other people mbumbumbu while wewe mwenyewe hujui unachoongea. Kwa taarifa yako in life without taking risk or challenges, utakuwa the same mpaka unaingia kaburini. Iwe ni...
  9. W

    JamiiForums Tanzania ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.

    Kimaaa umetumwa au
  10. W

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Ngudu Croach sijui COARTEM ..!! Nadhani hujanielewa point yangu. Sio kwamba kumsaidia mtu kulikuwa ni kuwa force wachague chama fulani. Mimi sina chamaaa !!! Maana ya sentensi zangu hapo juu ni kwamba watu wengi wamekuwa wakilalamika maisha magumu, Mishara midogo, hamna madawa hospitalini...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hili kuhusu bao la mkono linaloendelea

    Yaani ni shida kweli. Mimi sioni hata umuhimu wa huu uchaguzi. Kwani sioni kama haki inatendeka..!! Kama unavyosema viongozi wa Tume wote wamechaguliwa kwa matakwa ya CCM. Hivi kwa nini vyama vya upinzani havikufikiri mapema kushinikiza bungeni kuwa waunde tume kama ilivyokuwa ile ya Ukaguzi wa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Mkuu Honolulu kwa kweli huna budi kusitisha misaada kwa yeyote yule. Mimi pia nimekuwa nikisaidia sana lakini imenikatisha tamaa na kuona kumbe umasikini wetu ni wa kujitakia. Kuanzia sasa kila mtu aishi kwa shida zake..!!!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Sasa nimeamini kuwa umasikini wa Watanzania walio wengi ni wa kujitakia. Nasema hivi kwa kuangalia jinsi kampeni za uchaguzi zilivyokuwa na jinsi matokeo yanavyoendelea kutangazwa. Niliamini kuwa sisi watanzania tumetambua chanzo cha umasikini wetu ni CCM na viongozi wake. Na hii ndio imefanya...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hili kuhusu bao la mkono linaloendelea

    Nimejaribu kufuatilia tetesi za matokeo ambazo zinatolea na watu mbalimbali. Lakini cha kushangaza NEC wakiyatangaza yanakuwa kinyume na jinsi ya matarajio ya wengi. Sasa nimeamini kuwepo kwa bao la mkono Ishara ya Bao la mkono: (1) Katika matokeo ya Urais yaliyotangazwa na NEC utaona jinsi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Wakuu Ukawa kesheni vituo vyote tanzania. Maana ndio kura zinawekwa kwa njia hii usiku huu. Au kuja zingine zimeshawekwa utakuta. Wagombea wote Wekeni watu wenu walinde
Back
Top Bottom