Sio kweli, sijaanza kufundisha Leo mkuu, tangia nikiwa Darasa la Tano mwaka 2003 mpaka 2015 mimi nilikua nafundisha twisheni na nilikua nalipwa, Mara baada ya kuhitimu chuo pia nimefundisha sanaa mpaka nilipo chukuliwa na shule moja ya private walio nidanganya kunilipa mshahara mnono wa milioni...
Wewe bado huelewi vizuri chief, ndio maana unaponda tuition, bila tuition wengine tusingefika hapa tulipo hata watoto wa Feza boys wanasoma tuition mjomba hata Marian chief
Changamoto huwa hazikosekani, kama nilivyo sema nataka kusaidia jamii yangu, mkuu, kama watu wanafungua chekechea tu zinafanikiwa maeneo hayo sizani kama mimi ntashindwa.
Habarini ndugu zangu nahitaji kufungua tuition centre yangu kubwa pamoja na maabara katika mkoa wangu, ili niajili na kusaidia jamii yangu.
Hebu nisaidieni mawazo, changamoto zake ni zipi? Na mahitaji ni Yepi?
Habarini ndugu zangu,
Nahitaji kufungua tuition centre yangu kubwa katika mkoa wangu, ili nisaidie jamii yangu.
Hebu nisaidieni mawazo, changamoto zake ni zipi? Na mahitaji ni Yepi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.