Hawa wapo kwenye bubble, Muungano ni kitu cha CCM siyo taifa na siku zinavyoenda watu tunaanza kuamka. Tanganyika na Zanzibar ni mataifa mawili tofauti siyo lazima tuwe pamoja na kusema hivyo siyo ubaguzi.
Story za watu humu ndani zinafurahisha na kuelimisha sana. Nashukuru Mungu niliwahi haraka kukinai starehe. Mimi kulipia ada watoto, kuwajengea vitega uchumi na kuwatoa out na vacation inanipa raha kuliko kunywa pombe au mademu.
PSRC ili privatize 176 public firms hata hayo uliyonitajia hapo juu Umma unamiliki hisa ngapi? Ben mwenye kwenye kitabu alikiri utaratibu ulikuwa mbovu halafu wewe unatetea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.