Recent content by wikiliks

  1. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Sakata la January Makamba na Pesa za NSSF: Awataka maadui zake kumkabili moja kwa moja

    Kweli mfumo huu toka awali haukumtaka makamba nape na mwingulu,soon makamba na gambo wataondoka
  2. wikiliks

    JamiiForums Tanzania 2020 CCM hakiwezi kushinda kwa namna yoyote ile

    Mbadala wa ccm haujasajiliwa
  3. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Hapa ni social gathering kama ilivyo kanisani na pengine,kosa langu silioni
  4. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nipo dar nina elimu ya juu ninatafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27 hadi 40 Karibuni inbox kwa aliye serious
  5. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

    Nitafute
  6. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Mzito wa Viongozi wa CHADEMA, Wafanya ziara ya kikazi ya siku 7 nchini Ujerumani

    Haya majipu yameishiwa point
  7. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu, kuna kitu kinamsumbua Rais Magufuli

    Acheni kejeli
  8. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu, kuna kitu kinamsumbua Rais Magufuli

    Mimi hapa naona mna chuki za kiitikadi tu wala hakuna jipya
  9. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu, kuna kitu kinamsumbua Rais Magufuli

    Maraisi kama magufuli ni nadra sana kuzaliwa,tuwe na utamadunia wa kupenda vya kwetu tumuunge raisi mkono kwa nguvu zote atatufikisha mbali
  10. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu, kuna kitu kinamsumbua Rais Magufuli

    Nadhani hujui ni nini unataka kusema
  11. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kigoma-Ujiji kuhudhuria mkutano wa OGP nchini Marekani

    Tungependa mtutumie hiyo presentation yao tuisome
  12. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 30-42

    Hahaha
  13. wikiliks

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 30-42

    Hahaha mmegoma eee
Back
Top Bottom