Recent content by Wife to a king

  1. Wife to a king

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria naye ni mmojawapo wa wanawake aliyetelekezwa, amekwenda kuitikia ofisini kwa RC Paul Makonda

    Hiyo mbunye ulivyoitaja kwa midadi haki vile km uko dar sio wewe ni hali ya hewa imeleta mushkel kidogo kwenye maeneo ya kazi[emoji134]
  2. Wife to a king

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Asante mkuu kwa upendo,,kuleta hii mada hapa jukwaani ili uwaokoe na wengine,,its pure love,,,wewe ni shujaa wa siku[emoji123],,haijalishi umeangukaje what matters ni unasimamaje baada ya kuanguka.poleni lkn ichukulie tu km moja ya changamoto za maisha
  3. Wife to a king

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Naomba unipe tenda ya kukuletea maharage kilo moja inauzwa 1300,maharage aina yoyote upendayo,,usafiri juu yangu
  4. Wife to a king

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    Mzizi naomba kujua dawa ya chango kwa wanaume,,mume wangu analo chango and inamsababishia anakosa nguvu za kiume na anakuwa na low sperm count
Back
Top Bottom