Hata mimi sielewi huwa hizo taasisi zinaweka namba za simu hai kweli maana unaweza ukapita simu huduma kwa wateja unaambiwa namba haipo au si sahihi je, taasisi husika wanaitambua hilo na je,ni suluhisho gani wanatoa au ndio mitano tena watarekebisha...
Habari za mchana wadau mimi kwa upande wangu kuwa na mahusiano mengi wengi tunaingia kwenye hali hiyo kwasababu tunapenda kuingia katika mahusiano na kufanya mapenzi haraka paspo kupeana muda mrefu wa kujuana tabia mara baada ya kufanya tendo matamanio huishi na kuanza kuzoeana ...
Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya.
Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
Mmh.. kwanza pole sana kaka kwa hilo hata mimi niliwahi kukutana na mwanamke wa hivyo ilifika hatua nikaweka password kila Shemu nikitaka kufungua simu kama nipo naye nilikuwa natumia finger print najua hiyo hawezi kuitumia na namba za mabinti wasumbufu nilizisave majina ya kiume ili tu asijue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.