Acha na kfc , hebu tumia mfano huu
Wewe una machine ya kukoboa mpunga kilombelo na una Pack mchele kwenye kg 25 au 50 ,
Haya uuze tanzania nzima sasa
Jibu kwa mfano huo
Bidhaa za kuuza nchi Zima, hizi za chakula uongo , labda uwe na mtaji mkubwa sana na ufungue branch za kutosha , ili scale yako ya mauzo Iwe kubwa afu pia hata hao wateja hawa malizi mzigo kwa wakati pia nao mizigo haitoki
Nafanya food production kaka , ya sembe , dona na Unga wa muhogo actually nataka nifahamu kwa ukubwa maana naona hapo monetary policy ndo Chanzo ila nataka kujua zaidi ni nini hasa kinafanya Kote pa bane na wakati kama huu Tufanye nini? Pia nawaza kwa nini sija ona mapema
Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini.
Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata
MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.