Recent content by WIDAJAMU

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Potelea mbali bora niwe mkweli Coz nampenda toka moyoni hata kama atanikataa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Hata kama mkuu, but most important an-accept tu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Mkuu tumia kauli nzuri, ndo maana naomba msaada
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Mkuu hapa ninao wengi but for Discussions only, but I need Miss Chagga as my future wife.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Ndo nahitaji walau hata neno moja kutoka kwake, jaman hii dunia nitaishije bila kuwa na miss chagga? Acheni hizo jamani naombeni msaada
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Nimekuelewa madam, lakini bas aje atoe japo neno, moyo wangu ulidhike japo kidogo
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Kwanini mkuu? Kwani pesa ndo inapenda? Naomba maelezo
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Chagga

    Habari zenu wana jf, kwakweli leo nimeamua kuvunja ukimya, tangu nianze kutumia hii forum, nimegundua kitu kimoja kuwa watu wengi(almost 98%) wanatumia picha na Id fake. Lakini hilo halikunizuia mimi kuona maono. Historia fupi, Mimi naitwa xxxx, nilzaliwa Kigoma-kasulu, kwa sasa nipo...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Thanks bro,nitarifanyia kazi
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania David Maraga na majaji wa mahakama ya juu wamekosea kususia uzinduzi wa bunge

    Do not lie to the public,Maraga was questioned for the reason ahead of missing the assembly,he responded that they were not invited to do so as usual. So it is not their fault since Uhuru didn't invited them as Previously
  11. W

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Nitajaribu kutoa protector mzee ili nione,VIP kuhusu button kutowaka?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Kiaje mkuu?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Mkuu kwani unaweza kunisaidiaje nikija huko,na ni sh ngapi?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Sasa hii mkuu unabadilisha screen nzima au ni protector tu?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

    Michango yao
Back
Top Bottom