Recent content by WICHA

  1. W

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    Dini ya kweli haihitaji nguvu nyingi na kuweka masheria ya ajabu ajabu kuwabana watu. Watu wenyewe wataheshim tu tamaduni zao bila hata kufanya nguvu nyingi hadi bungeni!!! Mmm! Udini upo wa hali ya juu sana ZENJ toka enzi na enzi hilo linafahamika wala halina ubishi.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Mmmmmmm!! Is it true???
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ulanga amjibu Mh. Mbowe kuhusu CCM kutumia Miujiza

    Kaaaaa ! Mweeee !! Haka kajamaaa ni kapumbavu kweli yaani kana tuaibisha kweli wana morogoro badala ya kutetea jimbo lake la Ulanga kame base sana kwenye mipasho tuuu. Sisi mipasho inatusaidia nn kwa mfano ?? Mlinga jirekebishe ww bado kijana mdogo sana kama unakuwa factual utakubalika acha...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 dhidi ya Kagera Sugar

    Manara ishu ni hii watanzania tunataka kujua nyie ushahidi wa kuwa Fakhi alipata kadi 3 za njano katika mechi ya A/Lion dhidi ya Kagera ni nani ??. Mleteni kwenye kamati alete video ya huo mchezo basi lakini kupiga makelele na kuhoji uhalali wa kamati ya sheria kufanya review ya rufaa ya timu ya...
Back
Top Bottom