Recent content by why-this

  1. W

    JamiiForums Tanzania Buyungu, Kigoma: Msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA wapata ajali, baadhi wajeruhiwa

    Peni sana chadema. Wengine tuache mashambulizi kwenye shida. Isiwe kama Speaker aliyekataza wabunge wa ccm kwenda kumzika mbunge wa chadema! Shame on them!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli sasa imetosha, waambie trafiki wako barabarani watuache tupumue

    Vyanzo vipya sasa hivi ni kutafuta uchafu mpaka ndani ya nyumba za watu. Wakija tena nafunga geti langu. Huu niujinga sana. Mtatatuletea wezi haomgambo hatuwajui! Hatuna shida na u hafu uliondani ya fence ya nyumba. RC ahangaike na mazingira ya nje. Kuchukua hela eti kwa kuwa nimemwaga mbolea...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila ya katiba mpya ni kujitafutia mauti bila sababu

    Hili siyo tatizo la vyama nadhanini kubwa kuliko vyama.wananchi wote walivalie njuga. La sivyo tutaingia vitani! Hakuna aliye salama. Wake up jamani!
  4. W

    JamiiForums Tanzania LHRC yaunga mkono USA kuimulika demokrasia ya Tanzania

    Hivi wewe 100 digit ni mnafiki wa hali ya juu sana! Ni nani aliyeiharibu CUF, ni nani anayefungia wapinzani wasimarket vyama vyao wakati ccm wako barabarani kila siku. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote lakini nwKati vcm inal ann
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa upinzani Tanzania; Achaneni na mambo ya uchaguzi, hangaikieni Katiba Mpya

    Hivyo rais haoni aibu kwa matendo hayo?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na uduni wa akili

    Watu wana hasira sana wataachaje kutukana?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wagombea 45 kutoka vyama vya Upinzani Tanzania waenguliwa kugombea udiwani

    Miaka yote wajaze fomu vizuri, awamu ya kwanza waliweza ila leo wameshindwa kwenye awamo ya tano! Stupid kabisa! Shithole nation!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wagombea 45 kutoka vyama vya Upinzani Tanzania waenguliwa kugombea udiwani

    Hili ni jambo la ajabu sana. Wakati takwimu zinatuambia kuwa wanaochagua ccm ni wale wasioenda shule na wazee leo inakuwaje wanaoshindwa kujaza fomu ni wasomi. Ccm waache upumbavu huo watatuletea vita nch hii.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magufuli hapendi uchaguzi, alivyokuwa akigombea ubunge hajawahi kushinda kwa kura bali figisu

    Hivyo unapotetea uovu ni kwamba unalipwa ngapi ama ni kwamba kweli huna dhamira au maono kabisa katika nafsi yako?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Nasikia kuna watu wanasakwa wapotezwe

    Mtu yeyote wa chadema akipigwa chini hakuna uhalali ni wizi tu. Wananchi tumeelewa sasa. Siasa mbovu. Tuna watu, ardhi lakini mengine hakuna!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Obama hakuonana na Rais wa Tanzania?

    Obama huwa anachukia nchi ambazo hazina democracy!
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mbeya: David Ngogo, Diwani CHADEMA ajiuzulu, amtaja Dk Tulia

    Huu ni ujinga.Tulia anaidiaje kuliko mbunge wake. Huyu diwani ni fiksi tu. Kapewa hela ngapi? Aibu ccm. Wasomi tunawaelewa sasa. Hamtudanganyi.
Back
Top Bottom