Mabawe pole sana! Kiufupi huyo mwanaume hakutaki anachohitaji toka kwako ni kupunguza nye.. zake tu anapobanwa. Tena kwajinsi ulivyo mwelezea wasifu wake nahisi atakuwa mlevi wa kitu chochote ktk vilevi uvijuavyo. Pls heshm kz yk ulee mtt hana msada huyo!
Sasa hiyo harufu hujaeleza ni ya nn maana k ina harufu yake inayohamasisha mchezo na kama ni ya uozo ungemsaidia apate matibabu, kama angepona angekuheshimu sana kwani nahisi alikuamini ndio maana alikupa. Pia yawezekana wapo waliomwacha kama ww hawakumweleza tatizo, jitahidi msaidie.
Aiseee alitaka umwoe bila kupima kama bwawa ama kisima. Sema nitakulaumu kama alikwambia yeye hajawahi yaani bikila nawe ukaona ngumu kusubiri. Kama ilitumika hana nyimbo huyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.