Wakati wa kupimiwa kiwanja hua kuna ile form ina sehemu ya kujaza watu unataka wawe wamiliki endapo wewe utaondoka duniani...haya makaratasi ndio nayazungumzia...jina langu sitaki liwepo hapo
Wewe binafsi unaweza mtoa mwanao wa kumzaa kwenye makaratasi uliyo muandika endapo utaondoka duniani basii yeye awe mmiliki.unaweza kumtoa endapo atakuomba kwa maneno tuu,,,,utamfuta??na ni mwanao...so kwamba atahitaji akuforce kisheria??
Wana jamvi kwema?
Kama inawezekana kukataa kuandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi naombeni utaratibu wa kisheria ili kukamilisha jambo hilo.
Mmiliki bado yupo hai ...lakini nahitaji kujitoa ktk makaratasi ambayo namimi nimeandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi..
Sitaki chochote
Wanajamvi kwema!?
Ni viwanda au machimbo gani mtu anaweza kulangua jumla kwa bei ya kiwanda/chimbo na kwenda kuuza jumla na rejareja mkoani -diapers za watoto na watu wazima(makampuni yote),taulo za kike(pads) za kawaida(one-time use na reusable), na za pads kujifungulia(maternity pads)...
Mimi sipo hapo ila umemsahau yule mwalimu akiwa anatoka darasani yeye anapaza sauti "mwalimu umesahau kutuachia homework" aisee halafu ukute ni ticha wa Hisabati mweeeeh!alikua ananiudhi huyo.
Asante,kariakoo yote ni chimbo la stationery?na huko somali nikimtajia tu mwenyeji wangu somali tukafika hapo ni somali yote chimbo au somali ni jina la duka?sijakuelewa vizuri
Habari za weekend wanajamvi.
Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar.
Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa bei rafiki ya chimbo.
Bidhaa kama madaftari,counter book,gundi,marker pen,ribon za mapambo kwenye...
Hebu wa-tag maguru wa tiba za mimea humu JF, crocodiletooth,bin nun halafu kuna mzizi mkavu(huyu hayupo nchini ila atakutumia nafkiri kutoka uturuki au India hiviii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.