Recent content by whitefather

  1. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Nje kidogo ya mada Upo wapi & are u still single?
  2. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

    Upo sahihi,lakini ni vema ukapata anayekupenda sababu atakua tayari kukutii,kukusikiliza bila unafiki
  3. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

    Fanya maamuzi sahihi huyo ndio mke Usisubiri mpaka upate unayempenda ila hakupendi Utapata shida sana
  4. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu kuhusu dating site "victoria hearts

    Nashukuru kwa ushauri ,kiuhalisia kazi nafanya Ila nilichouliza ni experience kuhusu victoria hearts!!
  5. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

    Mwanamke anayekupenda ni tofauti na unayempenda wewe, huyu kakupenda so atakua tayari kukusikiliza na kutekeleza kila utakalo. Kimsingi mpe nafasi jiweke karibu naye mapenzi huanza na affection.
  6. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu kuhusu dating site "victoria hearts

    Khaa ndugu yangu hapo umeniona moka sana[emoji51]
  7. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu kuhusu dating site "victoria hearts

    Nataka advance experience
  8. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu kuhusu dating site "victoria hearts

    Sema nyuzi za mpigania uhuru
  9. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu kuhusu dating site "victoria hearts

    Habari ya wakati huu, Kama kichwa cha habari kinavojieleza ,naomba wenye uzoefu kuhusu dating site hiyo ya Ukraine.je kuna yoyote ambaye kafanikiwa kupata mwenza kwa hiyo site,Maana nimeingiwa na wasiwasi baada ya kuchati kidogo halafu nikaambiwa nifanye malipo ya dola 3 ili niendelee kupata...
  10. whitefather

    JamiiForums Tanzania INAUZWA LG Music system

    Mnapatikana mitaa gani?
  11. whitefather

    JamiiForums Tanzania Zana za kilimo zinauzwa

    Sorry hii pump inaweza kuvuta maji kwa kisima kirefu mita 40?
  12. whitefather

    JamiiForums Tanzania Empire Electronics & Home Appliances

    Watt ngapi
  13. whitefather

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

    Samahani boss mi naenda nje ya mada kidogo Je kwanini vyuo vya uhifadhi wanyamapori kama PASIANSI &MWEKA wanapodahili wanafunzi wanawafanyia interview, Je kuna ukweli baada ya kumaliza masomo unaingia kwenye ajira moja kwa moja? Asante.
  14. whitefather

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuacha kwa sababu ya kupenda "kuzibuliwa mtaro"

    Manina Sent using Jamii Forums mobile app
  15. whitefather

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Tatizo lako hujibu pm Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom