Recent content by Whitedent

  1. W

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    za asubuhi mkuu, nimeitwa kwenye hii kitu q net, ningependa kuwasiliana na ww ili nipate ujuzi wa kuchuzi wisely, ukiipata sms hii naomba nijulishe tujue tutawasiliana vp
  2. W

    JamiiForums Tanzania je gori la mkono ni mashine za BVR?

    nani anajua server zilipo na zipo safe kiasi gani?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    kama ccm wanamuona lowasa hafai na ni fisadi, naona njia nzuri kwao ni kunyamaza tu, cdm wameokota embe chini ya mbuyu, basi ujue maajabu yanakuja
  4. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu nafasi za tanesco za may

    jamani vp hawa jamaa wameita nafasi za finance officer?
  5. W

    JamiiForums Tanzania TRA Nafasi za July

    Shukrani, mimi nna missed call ya ttcl imeishia 453
  6. W

    JamiiForums Tanzania TRA Nafasi za July

    Kwa walipigiwa namba inaishia ngapi? Maana nimeona missed call namba ya ttcl, napiga haipokelewi, isije ikawa ndo hao jamaa
  7. W

    JamiiForums Tanzania TRA Nafasi za July

    ndugu zangu ningependa kujua kama TRA walishaajili zile nafasi za tax officers na custom officers
  8. W

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    hivi hawa jamaa wana ofisi mikoani?
  9. W

    JamiiForums Tanzania NHC Call for Interview

    mi nakumbuka accountants 9 nilizoomba .. nafasi zingine sizikumbuki
  10. W

    JamiiForums Tanzania NHC Call for Interview

    Jamani msikae mbali na simu NHC wameanza kuita zile nafasi za mwezi wa nne
  11. W

    JamiiForums Tanzania Updates on Oral Interview PPF

    wandugu tujuzane kwa mwenye updates zozote kuhusiana na majibu ya interview iliyofanyika pale ucc - mlimani...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Interview chuo cha Ardhi(UCLAS)

    umepigiwa simu?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Interview tarehe 18

    nimoooo.. thanx GOD.. wadau tuombeane
  14. W

    JamiiForums Tanzania Interview tarehe 18

    utumishi zile za parastatal zilizofanyika pale mwalimu nyerere jumamosi
  15. W

    JamiiForums Tanzania Interview tarehe 18

    wadau oral interview ni tarehe 18 lakini mpaka leo tarehe 16 majina bado, inakuaje?
Back
Top Bottom