Silaha hatari na zenye nguvu hatari ndani ya mcu na dceu pamoja na characters....... Mother boxes /change engine ,hizi zilitengenezwa na himon kutoka apokolips sayari anayotawal darkseid au prince uxas kwa kutumia element x,sio...
Post credit scene ya thor love and thunder ,baada ya thor kumuinjuired zeus ,zeus anamtuma mtoto wake hercules kupambana na thor coz amewadisrespect so thor 5 huenda itaongelea tukio kati mwaka 2023_2026 halafu ndio litafuata tukio la avengers doomsday
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.