Recent content by white rose

  1. white rose

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali

    Naishi dar es salaaam
  2. white rose

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali

  3. white rose

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

    Mi naona wewe ndo una matatizo kwasababu * jambo dogo hivyo huwezi susa wiki nzima eti unahama hadi nyumba *mkeo alishaomba msamaha ukaona ngumu kumsamehe *ukifuatilia mambo anayofanya mkeo ofisini basi nawapeni miezi miwili tu mtakuwa mmeshaachana, maofisini...
  4. white rose

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali

    Habari ya weekend wapendwa, mm ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 nna mtoto mmoja na mm ni single parent. Nashukuru Mungu nna kazi nzuri inayonilipa vizuri(private sector). Nimejiwekea vijipesa vyangu na sasa angalau nina amount kubwa. Nlikuwa naomba ushauri ndugu...
  5. white rose

    JamiiForums Tanzania Kipi kinapendwa na wanawake mbali na Status?

    mimi personally kusema ukweli napenda, kupendwa kwa dhati, napenda mtu anijali, pia napenda kuridhishwa tuwapo faragha and last but not least, napenda pesaaaaa( asikudanganye mtu bwana, ina play part kubwa ktk mapenz)
  6. white rose

    JamiiForums Tanzania Sababu za mwanaume kumwangalia mwanamke kwa nyuma

    duuu! dunia yafaaa!
  7. white rose

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kitovu na nguvu za kiume

    Habari za Jumatatu ndugu zangu, Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si rijali, swali langu ni, je kuna ukweli wowote kuhusu jambo hili kisayansi???? nahitaji kujua ili kuwa...
  8. white rose

    JamiiForums Tanzania Am not materialistic but I still can't keep a man

    P....r...a...y
  9. white rose

    JamiiForums Tanzania Mtoto anarithi akili ya kuzaliwa kwa baba au kwa mama?

    Nilishajaribu kufanya research juu ya suala hilo, kwa kusoma vitabu, kudadisi kwenye internet na kufanya tathmini kwa baadhi ya watu niwajuao, nikaona kwenye vitabu au makala nyingi wameandika kuwa, kisayansi, it has been proved that, about 80 percent of a child's intelligence anarithi kwa mama...
  10. white rose

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    kwani akijenga nyumba akapangisha hiyo sio biashara??????????/
  11. white rose

    JamiiForums Tanzania Sina Hamu na Mademu wa mtandaoni

    Mungu anakupenda ndo maana amekuepusha na janga hilo, sasa kama hujipendi, rudia tena umalaya wako, lazma ufe this time
  12. white rose

    JamiiForums Tanzania Nimepima mara tatu UKIMWI

    kwani lazima na ww upost???? si uwe unasoma tu na ku like
  13. white rose

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ARVs

    Nadhani preta haujaelewa swali lake vizuri.....
  14. white rose

    JamiiForums Tanzania Kwa waliotayari kuoa/kuolewa na wale walioingia humo tayari

    hahahahaahahahahahaaaaaaaaaaa.....
  15. white rose

    JamiiForums Tanzania Wanandoa: Upangaji wa nguo chumbani

    tatizo watu wanadhani humu tuna discuss mapenz tu......
Back
Top Bottom