Recent content by white hat

  1. white hat

    JamiiForums Tanzania Computer speed

    vipi hii HP ProBook 440 G1 Notebook PC, naweza kuupgrade kutoka Hdd to ssd
  2. white hat

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta na App ya SamaPay - Haya ni mapungufu niliyoyaona

    hii ni mpya, hata ukicheki hapo amefungua mwezi uliopita ile ya kwanza ilikuwa na followers 1mil +
  3. white hat

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta na App ya SamaPay - Haya ni mapungufu niliyoyaona

    ni account ya samatta
  4. white hat

    JamiiForums Tanzania Nimeunganishwa Internet ina Spidi lakini inagoma kuunganisha wifi

    Hizi mambo zinaenda kimya kimya sasa ukisema mtandao unaotumia ujue ndio trick imefungwa hivyo
  5. white hat

    JamiiForums Tanzania Nimeunganishwa Internet ina Spidi lakini inagoma kuunganisha wifi

    Hauwezi kufanya tethering kwasababu unatumia VPN, ila kama simu yako ni rooted inawezekana nitakuelekeza
  6. white hat

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Gamers fanya haya ikiwa gemu lako linagoma kufunguka

    Tafuta android emulator kama nox player, memu au bluestack kisha utainstall game lolote kama kwny simu tu
  7. white hat

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadili betri ya simu ambalo ni non removable

    😂😂 unataka kuua simu ww, yaani hapo taxi unataka kufunga engine ya basi
  8. white hat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwale Kenya: Auliwa baada ya kuhisiwa kuwa na Coronavirus

    Africa tunasafari ndefu kweli
  9. white hat

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muigizaji nyota, muhusika katika filamu ya Queen of Katwe Nikita Pearl Waligwa ameaga dunia

    RIP so soon, alicheza vizuri kwenye filamu ya queen of Katwe
  10. white hat

    JamiiForums Tanzania Game gani kali za magari za offline?

    Hii nimecheza ila kwenu demo mode tu vipi unaweza Kuwait na keys zake?
  11. white hat

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuondoa indicator

    Ibonyeze mara mbili (double tap)
  12. white hat

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kurudisha mafaili kwenye flash

    https://answers.microsoft.com/en-us/windows/forum/windows_10-files/how-to-recover-chk-files-from-found000-folders/c94d2993-f31a-488a-a14b-ae96005daaee https://www.raymond.cc/blog/how-to-recover-chk-files-created-by-chkdsk-and-scandisk/
  13. white hat

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

  14. white hat

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

Back
Top Bottom