Recent content by wete

  1. wete

    Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Walifunga YouTube na Instagram, X walimalizana nayo kitambo hadi utumie VPN
  2. wete

    DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Wakuu nashkuru kwa misaada yenu hatimae X wamenirudishia account yangu ingawa haina followers tena na watu niliowafollow pia wamepotea vipo vitu nilivopostigi tuu.
  3. wete

    DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
  4. wete

    Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Mtoto ana miezi 6 toka amezaliwa alizaliwa vizur tu ila alivofikisha miezi mitatu akaanza kukoroma awe ana mafua au hana mafua yeye anakoroma tuu ila haimzuii kunyonya wala kupumua, ametumia dawa lkn bado naombeni ushauri
  5. wete

    Msaada: Laini yangu ya Halotel imepata matatizo ya kiintaneti

    Chief-Mkwawa na wengine naombeni msaada router yangu ya halotel toka juzi inaniletea huu ujumbe wa ISDN/Account nimejaribu kutia user Name na password zote lkn bila bila wakuu
  6. wete

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    @Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  7. wete

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Size: 3004.35 MB Hii One UI 6.0 function yake iko wap kwene hizi Samsung zetu.
  8. wete

    Hii Web ya tausi imekaaje wanajamvi

    Najaribu kulogin inanikatalia hawa jamaa wanapita madukan wanasema service levy ni kila baada ya miezi 3, yan jinsi unavotoa risiti wanapiga hayo mauzo yako ya miezi 3 mara 0.03 inakuja pesa ndogo sana ila hawa jamaa hawaelewi wanapiga mara 3 yan miezi mi3, kwa hyo kwa sisi wafanya biashara...
  9. wete

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Leo nipo Kilimanjaro najaribu kupiga namba ya makao makuu bila mafanikio na hyo number ya simu waligawa wenyewe, sijui wamezidiwa au shida ni nn.! Ivi kama nna emergency ipi sehem sahihi ya kuwapata?
  10. wete

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    @Chief-Mkwawa Toka nimeingiza update kwenye simu yangu haitaki kuupdate apps nikiupdate inaishia kuzunguka tuu, baada ya kuiupdate pia imepanda kwenye 5G Ni Samsung A73 mkuu nimekua najaribu mara kwa mara na kurestart sim ila nikijaribu tuu kuupdate inakua pending muda wote, naomba kama naeza...
  11. wete

    Ushauri wa haraka kuhusu simu

    Samahan Chief-Mkwawa kuna infinix hot 10 kuna muda inaamua tuu yenyewe inajitouch touch na kustack hadi mda mwingine kujipiga yenyewe nilijua tatizo ni protector nimeitoa lkn tatizo liko vile vile hasa kwenye joto kali hyo hali inazidi naomba Kama ulishawah kukutana na tatizo Kama hili unisaidie...
  12. wete

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna kipindi walikata elfu sita kwa pamoja na malalamiko haya niliyasikia pia kwa watu wengine. Hamuwezi kunipatia code niwe naangalia jinsi nilivokatwa kwa sbb Kodi ni elfu 10 kwa mwaka Sasa kwa namna hii Mwaka itakua hata 50k, kuna mtu wa tanesco niliwah kumuuliza akaniambia Kodi ni ishu ya TRA
Back
Top Bottom