Recent content by Weston Songoro

  1. Weston Songoro

    Muunganiko wa Maalim Seif Shariff Hamad na Zitto Kabwe ni liwazo kwa 'watalikiwa'

    Namhurumia sana Maalim Seif. Mwenzake LOWASA amesoma alama za nyakati. kitu pakee ambacho hajakigundua Maalim Seif ni kwamba uzee umemnyemelea
  2. Weston Songoro

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Mmeshaomba kibali cha kuandamana lakini? Wenzenu huko akina Mange Kimambi wameshaomba
  3. Weston Songoro

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Kwani kuna ubaya gani kutunga sharia tukasubiri mtu akiingia kwenye line ifanye kazi? Naunga mkono hoja
  4. Weston Songoro

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Hivi mtu kama Mange Kimambi ana faida gani kwa taifa hili? Naunga mkono hoja
  5. Weston Songoro

    Mwanza sio salama hata kidogo. Watu wanauawa kama wanyama Serikali iko kimya!

    Tangu umefika wangapi wameuawa? Na mbona wewe hujauawa?
  6. Weston Songoro

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Hahahahahahaaaaaa. Hata mie ndo leo nimejua kuwa yupo nje. Maana alipotea sana sambamba na kaka yake Chabruma
  7. Weston Songoro

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Naunga mkono hoja. Kaka Lizaboni , hivi Chabruma yupo wapi?
  8. Weston Songoro

    CHADEMA tunavyowashambulia wabunge na viongozi wa CCM ndivyo maisha yetu yanavyokuwa magumu Bungeni

    Hama hicho chama. Njoo CCM kwenye watu wenye akili timamu
  9. Weston Songoro

    Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Malisa Godlisten anammiss sana Dr Slaa. Mashinji amepwaya
  10. Weston Songoro

    Kama Tundu Lissu yupo tayari kunywa Juice ya Ikulu, amuombe radhi Rais kwa kumuita Dikteta

    Lissu ameshakimbia Ikungi. Kwa sasa yupo na TLS eti kwa vile tu anaitwa Rais!
  11. Weston Songoro

    Kama Tundu Lissu yupo tayari kunywa Juice ya Ikulu, amuombe radhi Rais kwa kumuita Dikteta

    Kwa akili ya Lissu, yupo tayari kuomba radhi kuliko kukosa juice na sambusa za Ikulu. Ila akumbuke Ikulu kwa sasa hakuna Jiuce bali Maji tena ya Kandoro
  12. Weston Songoro

    Mashirika ya kimataifa yawalaani Magufuli, Makonda

    Kwa sasa ajenda yetu kuu ni mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Hatutawavumilia mnaoturudisha nyuma
  13. Weston Songoro

    Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

    Mkuu, kama wewe si UKAWA basi utakuwa UKIWA
  14. Weston Songoro

    Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

    Kama ni hawa wawekezaji wanaoliibia taifa kila siku bora waondoke tu
  15. Weston Songoro

    Nape Nnauye amkabidhi Ofisi Waziri Mwakyembe kwa bashasha na furaha

    Mbunge wa Mtama Mh Nape Nnauye amekabidhiana rasmi ofisi na Dr. Mwakyembe wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Si kwa kicheko hicho. Naona hasira zake zimemuishia. Aliyempa ushauri nasaha nampongeza.
Back
Top Bottom