Recent content by westandtogether

  1. westandtogether

    Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

    Huyu dogo janja ni kawaida yake hyo bastola alimtishia pia rafiki yang mwaka 2019 bila sababu za msingi yaan kwa kifupi chizi kapewa rungu, kwa historia ya huyo kijana sioni km ana vigezo vya uongozi
  2. westandtogether

    Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Kigamboni

    Ninauza kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 540 SQM kilichopo MWASONGA, KIGAMBONI kipo barabara kuu ukitokea Mwasonga stendi. 📍Mahali pazuri kwa makazi au uwekezaji- miundombinu ipo karibu. Bei 6,500,000/= ( milioni saba tu) - maelewano yapo kwa mwenye nia ya dhati. Kwa mawasiliano zaidi au...
  3. westandtogether

    Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Tunaona difenda hatujajua ni polisi au ndo watekaji wenywe 😅😅
  4. westandtogether

    Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Hizi mada sio za ku entertain sana though Zina sound relevant nchi za Africa almost zote Zina hili janga la unemployment n poverty crisis,
  5. westandtogether

    Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

    It's true maan hizo taasisi za fedha na mapato wanazoea kazi na kupoteza uadilifu mapema
  6. westandtogether

    PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

    Nonsense kabisa Hawa wanafunzi wa sikuhizi na uongozi taka taka
  7. westandtogether

    Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

    Nilichokuja kubaini kwenye swala la lugha tusijilinganishe na mataifa kama China, Russia hawa watu wanatumia lugha zao mashuleni, Sisi watanzania tunatumia kiingereza sekondari na chuo so miaka yote hyo haiwezekan usiongee hyo lugha
  8. westandtogether

    Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

    Mkuu, Naomba kujua Kuna wabunge na madiwan nawafahamu walipitia usalama wa taifa kabla hawajawa viongozi wa majimbo hii leo, Ile kazi yao wanaiacha kabsa au wanaendelea kuwa na ubunge pamoja usalama??
  9. westandtogether

    Soko la kuku wa kienyeji Dar

    Naomba unichek mkuu
  10. westandtogether

    Soko la kuku wa kienyeji Dar

    bei kuanzia 15,000 mkuu Bei ni kuanzia 15000
Back
Top Bottom